Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

ndugu wanajamii nimejaribu kufuaatilia hii post tokea mwanzo nimegundua humujamvini kuna watu wana mawazo mgondo kuhusiana na ishu za udini na wapi mtu anapotoka. tafadhali katika kufanikisha ukombozi jaribu kuangalia nani anakusaidia kufikia hiyo nia yako na sio kuangalia huyu ni nani na anatoka wapi. kwa lugha rahisi wale wote walioshindwa wanatumia kigezo cha udini na ukabila kama kigezo cha kuua mada yenyewe. eleweni hawa machallii wa arusha ndo chachu ya maendeleo na yote yaliyotokea arusha yatawasumbua viongozi wa dini kwa muda wote waliopo madarakani.viva arusha think big this is just the begining.

once bob marley says emancipate yourself from mentaly slavery non but ourself can free our mind.
 
Baada ya muda mrefu umefanikiwa kujua elimu ya Lema? Kumbe Lema cha form two lakini ameonyesha ujasiri mkubwa sana watu na phd/Masters chali...Ningekushanga kama usingeonekana jukwaa hili......Vipi Lyimo alipata kura ngapi?
jikumbushe kwa kugonga hapa....pole sana mkuu Ngongo
 
Hiyo gari ni ya Lemma. kaipata baada ya kuchaguliwa mbunge. Je keshapata mshahara wa kuweza kununua gari kali kama hiyo? Number plate yake ni LEMMA 01 NA. Je Tanzania inaruhusiwa kuwa na customized number plate kama hiyo?
Msela nilikutana naye zamani kidogo alikua anazuga kama fundi computer maeneo ya cafe la aziz. Kwa hiyo jamaa ni hustler wa ukweli na anapenda kitu cha Arusha.
Anyway, Ni Mbunge wangu, nampenda, nilimpigia kura na nitampa support wakati wowote akihitaji ingawa siku hizi haudhuriagi pande za riverside tena.
 

Attachments

  • Lemma.jpg
    142.2 KB · Views: 82

Kaka yake alimletea kama zawadi na ndugu zake wengine kutoka Namibia,sina hakika kama inaruhusiwa but najua inalipiwa hiyo plate no.Lema ni mfanyabiashara wa madini,hilo la fundi computer labda alikuwa anafanya kama hobby akisubiri wateja..............lol
 

duh, michele unavyomjua huyu jamaa?
 
mbona hamkushangaa hata kabla haja pokea msharaha akatoa trekta ili liwasaidie wajane (wa Arusha) na bado kuna ambulance 2 zinakuja.
 

Attachments

  • trekta.jpg
    30.6 KB · Views: 35
mbona hamkushangaa hata kabla haja pokea msharaha akatoa trekta ili liwasaidie wajane (wa Arusha) na bado kuna ambulance 2 zinakuja.[/QUOTE]

Mimi nilisikia kafanyiwa donation na masela ambao wako abroad kununua hiyo trekta na ambulance. Na trekta lenyewe ni kwa sababu ya kuzoa uchafu. kusaidia wajane, sijaisoma bado.
 


Katika post yangu nimesema sina uhakika,sasa ungeuliza kwa nini nilisema hivyo,pengine mkewe alisema hivyo,mi nikusikilize wewe au yeye?Mi si shabiki wa CHADEMA,umekurupuka tu hata kunisoma bado hujanisoma vizuri,mimi namfahamu Lema na ndo maana hayo mengine nayajua,kwenye hilo nilisema kabisa sina uhakika,that means correction was acceptable,so usinite muongo while i made it clear..........Na najua Lema ana dada yake hapa,nilitegemea azungumze hilo alipokuwa anajibu hoja za watu ka wewe hajaliweka sawa...................sasa,ukome kurukia mambo,sina sababu yeyote ya kumpamba Lema....maelezo mengi,upupu tu.....................unajidai unamjua Lema na hapaswi kupongezwa unajua hao unaowaita watawala walimuombaje awakane watu wake na kusisitiza wasifanye maandamano,ushujaa ni kuwa aliwasikiliza wanyonge na akasema LET THE VOICE OF THE VOICELESS BE HEARD,uwe unanisoma vizuri si kuja na maelezo mengi yasiyo na msingi,ungesema tu pale kwa elimu ni KIDATO CHA PILI,haimshushii lolote yeye atabaki kuwa mbunge mwenye malengo sahihi na watu wake.
 

Hivi na makamba, The chief strategist wa ruling (killing) party ana elimu gani?
 
Huyo chizi hapo juu kanipa hasira sasa nimemuuliza mwenyewe,

ADVANCED DIPLOMA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT-Cambridge International College(nilikosea nikasema IAA)


BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION-Bado anasoma hapo hapo Cambridge International College


Certificate ya Effective Management of Leadership-from Cambridge International College

Na wakti huu yuko anafanya mitihani kwa ajili ya course ya Project Management


Huko Kibohehe hakukuwa mwisho wa elimu ya Godbless Lema,sasa wapigie huko Cambridge wakuambie..................:car::car::car:
 

Hapo kwenye red I agree with you, just like the entire ccm gang, maana ccm is no longer a party bali gang la wanasiasa who have turned to be gangsters, blood suckers
 
Na hao ndo viongozi haswa wanaohitajika Tanzania ya sasa maana tumechoshwa na viongozi wasomi halafu majizi au viongozi wa kurithishana dizaini ya kina January Marope.Mtoto wa mjini aliyekulia mjini mpaka kanyoosha maisha yake kwa Utapeli au Usanii kama Lema na Mr Sugu ndo hugeuka kuwa strong leaders maana wanakuwa na strong emotions kuface real situation waliyoiona na kuiishi.January makamba aliwai kupata shida gani katika maisha yake akiwa bumbuli mpaka kuweza kuwasaidia wana bumbuli kama si utapeli unaouzungumzia kwa Lema.Chaliii angu mi sidanganyiki ati.shauri ako wewe.
 


I agree with you, just like the entire ccm gang, maana ccm is no longer a party bali gang la wanasiasa who have turned to be gangsters, blood suckers

I also agree with you..hapo kwenye red .... hiyo ni bonge moja ya credit katika maisha yake
 
Umesomeka vyema, usiumizwe kichwa na mtu kama Ngongo juu ya Lema huyu jamaa anachuki binafsi na Lema tangu siku nyingi alikuwa akimpigia kampeni mjinga mmoja huku akijaribu kumpaka matoke Lema na huwa anajitokeza hasa yanapotokea mambo ambayo anaweza kwa akili yake hudhani ataweza kupenyeza sumu juu ya Lema...
Lakini atazidi kuaibika kama alivyoaibika kwenye kampeni...
 

basi mama, msamehe. kama ana akili timamu hatarudia tena
 

Asante Michelle. nakubali kwamba Lema is a talented leader, visionary, and very determined. he feels the people and delivers for them. Nimefurahi kwamba anajiendeleza kielimu kwa kiwango hicho, najua wabunge kadhaa wa bunge lililopita ambao walisoma baada ya kuwa wabunge na sasa baadhi wanaendelea na ubunge.

mambo mawili naomba umshauri.

1. muombe ajaribu kutumia zaidi kiswahil anapoongea mbele za watu kwani huwa anapotumia tu maneno ya kiingereza katika mazungumzo yake anavunja kweli kweli. Ingawa ujumbe unafika, lakini sasa huwa anawapa watu nafasi ya kuanza kujiuliza maswali baadaye.

2. mwambie asiwatukane polisi. hili ni muhimu zaidi, kwamba polisi wa kawaida arusha ni wapenzi sana wa chadema lakini wana kisasi na Lema kutokana na kuwarushia maneno mabaya anapohemshwa na machalii. akifanikiwa kurudisha urafiki na polisi watamsaidia sana sana kwani hawapendi chadema ihujumiwe.
 


Mkuu..unaonekana inaweza ukawa unahusika na haya mambo ya intelijensia..... ha ... haaaa
 
As long as Lema is with chadema, JF atapigiwa debe tu! its that simple...Sasa ngoja atoke chadema ndio utajua madhambi yake....

CV yake ni chadema

kwani cv ni nini? Wewe huoni jamaa anachapa kazi ndo cv yenyewe anatengeneza, kwani mbona chenge ana cv kali ila anatia kinyaa.
 


Heshima kwako Michelle,

Umewahi kujiuliza ni chuo gani kilichosajiliwa kinaweza kumpokea mtu aliemaliza kidato cha pili kwa course ya Advance Diploma ??????.Tunaweza kurefusha mjadala sana lakini mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale mengi nakuachia wewe unayeta story za kuambiwa na mke wa Lema halafu ukibanwa povu linakutoka.

Nakupa mtihani mdogo sana huna sababu za kutudanganya kwamba Lema ana ADHRM naomba utueleze kidato cha nne kamaliza shule ipi,je ana cheti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…