Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 699
Kwanini walishukia stendi kuu. wajifichefiche hawa:redfaces:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini walishukia stendi kuu. wajifichefiche hawa:redfaces:
Kiherehere tu hicho, yaani wako kwenye mabasi yao bado wanaingia stendi badala ya kwenda Lumumba
umeimalizia vizuri sana post yako.wananchi wamechoka na 'wasomi' waliotegemewa kuleta mabadiliko wamechemsha hivyo wenyenchi wametumia haki yao kumuweka mtu atakayetekeleza wanachokikata.
Najua imechukuliwa kisiasa lakini ukweli ni kuwa serikali haijawasaidia vijana wa Arusha kuwa tofauti,hawana utaratibu mzuri wa kuuza madini yao,wanadhulumiwa na hawalipwi huko wanakofanya kazi,wengi wao pia hawana ajira na mbaya zaidi kuna kazi kama za tours sasa hivi zimeingiliwa na Wakenya na ndo maana wamefika point ya kukata tamaa,Arusha ni mji wa kitalii maisha ni magumu,mazingira ya kufanya biashara pia ni magumu na vitu ni ghali sana.......Serikali ya Chama cha Mapinduzi inapaswa kuangalia sana suala la Arusha na kwa kushirikiana na Lema anayeelewa undani wa maisha ya vijana.....kufanya siasa na kutumia nguvu haviwezi kubadili tabia ya watu wenye njaa.....gap kati ya maskini na tajiri ni kubwa sana Arusha kuliko sehemu yeyote ya nchi hii,its a point of no return,wanasema bora kufa kwa ajili ya nchi yao kuliko kuishi maisha marefu watu wachache wakifaidi mali asili na opportunities zinazopatikana nchini...........mi sishangai watu wa Dar kutofautiana na wa Arusha na kushangaa kwa nini hawa vijana ni wakali hivyo,ni ugumu wa maisha.....
Kwhiyo Bunge 'tukufu' la Tanzania lina stahili kuwa na uwakilishi wa MATAPELI? lol Democracy is interesting...
Umesahau kwani alipogombea 2005 alishinda lakini alivuta millions kwa Felix ili akubali kushindwa. 2010 dau lilikuwa dogo kakataa.Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya Human Resources Management( Cambridge International University,Certificate of Effective Management of Leadership,he is doing Bachelor of Business Adiministration,same college)
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................
| GENERAL | ||
| Salutation | Honourable | Member picture
|
| First Name: | Godbless | |
| Middle Name: | Jonathan | |
| Last Name: | Lema | |
| Member Type: | Constituency Member | |
| Constituent: | Arusha Mjini | |
| Political Party: | CHADEMA | |
| Office Location: | Box 16531, Arusha | |
| Office Phone: | +255 764 150747 | |
| Ext.: | ||
| Office Fax: | ||
| Office E-mail: | ||
| Member Status: | ||
| Date of Birth |
| EDUCATIONS | ||||
| School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
| Kalangala Primary School | Primary Education | 1983 | 1989 | PRIMARY |
| Geita Secondary School | O-Level Education | 1989 | 1991 | SECONDARY |
| Kolila Secondary School | A-Level Education | 1991 | 1993 | SECONDARY |
| Cambridge International College | Diploma | 2008 | 2010 | DIPLOMA |
| Cambridge International College | Degree | 2010 | Todate | NOT COMPLETED |
| CERTIFICATIONS | |||
| Certification Name or Type | Certification No. | Issued | Expires |
| EMPLOYMENT HISTORY | |||
| Company Name | Position | From Date | To Date |
| The Parliament of Tanzania | Member - Arusha Urban Constituency | 2010 | 2015 |
| PTN | Chief Executive Officer (CEO) | 2007 | 2008 |
| Tanzania Labour Party, TLP | District Secretary General | 2005 | 2008 |
| DENETRIA | Director | 2005 | 2008 |
| POLITICAL EXPERIENCE | |||
| Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
| Chama Cha Demokrasia na Maendeleo | Member of Parliament | 2010 | Date |
| Tanzania Labour Party, TLP | District Secretary General | 2005 | 2008 |
| Tanzania Labour Party, TLP | Candidate, Member of Parliament | 2005 |
| PUBLICATIONS | |
| Description | Published Date |
| Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha | 2008 |
| Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha | 2008 |
| SPECIAL SKILLS | |||
| Skill Name or Description | Years Experience | Acquired Through | Skill Level |
| RECOGNITIONS | ||||
| Recognition Type | Recognition Date | Reason | Action Taken | Issued by |