Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mh Mimi nmenza msingi 1983 mpaka 1989 Kisha 1990 mpaka 1993 ni O-level na 1994 mpaka 1996 A -level sasa nashangaa Lema amesoma mitahara ya wapi? Yaani ndani ya miaka kumi tu kasoma from std I mpaka form six jamani tuache uongo
Baada ya kumaliza A level uliishia hapo hapo au uliendelea na shule?
BTW inawezekana wewe umesoma kwa MITAHARA kama hapo kwa red, na mwenzio Lema hakusoma kwa MITAHARA.
FYI: MITAHARA ni spesheli kwa MATAAHIRA.