Katiba inasema darasa la sabaKwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters).
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu!
Mmachame huyo ni Mtata sanaDaaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Masters yako ina impact gani kwenye jamii bobDaaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Angeomba hata kundikiwa cv aiseeKwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Unashauri nini kifanyike?Masters yako ina impact gani kwenye jamii bob
??...wangapi waliojaza hizo doctorate kwenye makaratasi yao lakini hatuoni hizo deliverable na impacts za makaratasi yao katika nafasi walizopewa?
Mimi nadhani tukiendelea kupimaa uwezo wa mtu kwenye nafasi hizo za kisiasa kwa wingi wa vikao vyake darasani kama Taifa tutaendelea kufeli kila siku.
Hizo online unaziona ziko sawa afu sio uhalisia ukicheki Google hivyo vyuo hakuna isipokuwa kimoja tuseme nchi inaongozwa na vilaza mtupu na uhakika form four anafour ya mwishoni huko karibu na zeroKwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Huyu na mteuzi hawatofautianiKwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Aliyemuandikia naye kilaza wa mwisho!Hahaha tafuta hivyo vyuo dunia kama utaviona lbd kimoja tu 😂
Form four yenyewe ya wapi?Hizo online unaziona ziko sawa afu sio uhalisia ukicheki Google hivyo vyuo hakuna isipokuwa kimoja tuseme nchi inaongozwa na vilaza mtupu na uhakika form four anafour ya mwishoni huko karibu na zero
Mfano hawa viongozi wengi hizo nafasi wangekua wanaomba kupitia ajira portal, wapite written.....practical afu oral hamna hata moja atakaepenya.Aliyemuandikia naye kilaza wa mwisho!