Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Katuteulia Dr aliye complete form four😂Hawa ''wadudu'' kwakupenda qualifications za ''online'' ni level nyingine. Huyu hata kama mtu ni mtaalam kuandika CV, atarekebisha nini? Kwamba umpe elimu ambayo hana? Ndiyo maana nchi inayumba halafu tunashangaa kumbe juu huko kumeoza. Hapo bado hujapewa ya aliyemteua.
Kazi sio ndogo hapa🙌🏾