Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,023
Tatizo tunakosa nguvu maana hata hao waliosoma ndo wanaongoza kutuingiza cha kike, kwahiyo tunabaki kusema Tu matendo ndo Kila kitu.
Hongera sana Dr. Eveline Munisi! Dunia ya leo inaangalia EXPERIENCE! Kuna watu wanakashifu humu kwa kuwa wanadai eti wana Masters!! Huku mitaani wako wengi tu lakini hawana experience ya kitu chochote!! Hata uzoefu wa kusimamia kikundi kidogo tu cha vikoba hawana!! Leo wanataka kujilinganisha na FOUNDER & CEO wa WOMEN IN LEADERSHI FORUM, nafasi ambayo imempa uzoefu mkubwa wa kuendesha na kusimamia makongamano ya kimataifa, anajulikana kimataifa. Na kwa kigezo hicho wenye akili zao walimwona aki-deliver wakaona anafaa kupewa udaktari wa heshima!! na kuwa Dr. Eveline Munisi! Kama ni rahisi na wewe fanya vitu vya kukutambulisha kimataifa tuone! Mnahangaika tu kutembea maofisini na bahasha ya vyeti badala ya kubuni na kuanzisha vitu vya kuwatambulisha!! Ni wivu tu unawatesa! Usituambie una masters tuambie umefanya nini na hiyo masters yako kama mchango wako kwa jamii yetu!! Otherwise you better SHUTTER UP!!Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Wewe unapohangaika na kutafuta ajira mwenzako anahangaika na kuanzisha vitu vinavyozalisha ajira!! She is the FOUNDER & CEO!! Tofauti yake ni kama tofauti ya mbingu na nchi!! Wewe unatafuta kuajiriwa mwenzako anatafuta kuajiri!! Hata hiyo nafasi aliyoipata hakuitafuta! Imekuja tu, nafasi hufuata watu wenye vitu vya kusaidia jamii na wamejipambanua hivyo!! Acheni wivu, fanyeni vitu vya kuwapambanua na nafasi zitawaona!!Kwa ule moto tunaopitishwa na utumishi hakuna kima angepita huo msoto zaidi ya kuforce connection zao basi!
Nani kamuonea wivu huyo mungu wako? Nimesema kama angepitia ajira portal asingepita that’s all kwani kuna sehemu umeambiwa tunataka kupita njia zake?Wewe unapohangaika na kutafuta ajira mwenzako anahangaika na kuanzisha vitu vinavyozalisha ajira!! She is the FOUNDER & CEO!! Tofauti yake ni kama tofauti ya mbingu na nchi!! Wewe unatafuta kuajiriwa mwenzako anatafuta kuajiri!! Hata hiyo nafasi aliyoipata hakuitafuta! Imekuja tu, nafasi hufuata watu wenye vitu vya kusaidia jamii na wamejipambanua hivyo!! Acheni wivu, fanyeni vitu vya kuwapambanua na nafasi zitawaona!!
Kama mtaendeleà na mentality ya kizamani ya kuangalia vyeti na maharaja, mtasubiri sana! Dunia ya leo inaangalia watu wanaoFANYA vitu, watu waliothibitisha uzoefu wa kufanya vitu chanya kwenye jamii!! Elon Musk hana vyeti ambavyo mnajidai navyo, lakini dunia inamtambua kwa ku-deliver na anawatumikisha hao hao wenye vyeti na wasomi kuliko yeye! Bill gates hana vyeti wala shahada yoyote lakini lakini mchango wake kwenye hii sayari ni nani asiyeujua? Mzee Bakressa hana vyeti mnavyojidai navyo! lakini vipi mchango wake kwenye jamii yetu? Hivi leo Mzee Bakressa akiteuliwa kuwa mbunge na waziri wa viwanda kuna ambaye anaweza kubeza kuwa hana hata masters!! Wenye masters tunao mitaani wamechoka hawana hata Ubuntu wa kufanya chochote!! Msitutishe na vyeti, tutisheni kwa kuonesha mchango wenu chanya kwenye jamii!! Otherwise just shut up!Katuteulia Dr aliye complete form four😂
Kazi sio ndogo hapa🙌🏾
Ndiomaana watu wanalilia mabadiliko ya katiba, kwa dunia ya leo yenye wasomi kila kona, teknolojia na maendeleo mbalimbali ya kitamaduni na uchumi, hauwezi kuruhusu "waziri wa nchi" aliyeishia darasa la saba.Katiba inasema darasa la saba
Masters haifanyi kazi,afanyaye kazi ni mtuDaaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Nenda katafute taarifa sahihi kuhusu Elon Musk, kielimu na kwa vitu vingi hawezi kufanana na mtu ambaye hata form four alifeli.Kama mtaendeleà na mentality ya kizamani ya kuangalia vyeti na maharaja, mtasubiri sana! Dunia ya leo inaangalia watu wanaoFANYA vitu, watu waliothibitisha uzoefu wa kufanya vitu chanya kwenye jamii!! Elon Musk hana vyeti ambavyo mnajidai navyo, lakini dunia inamtambua kwa ku-deliver na anawatumikisha hao hao wenye vyeti na wasomi kuliko yeye! Bill gates hana vyeti wala shahada yoyote lakini lakini mchango wake kwenye hii sayari ni nani asiyeujua? Mzee Bakressa hana vyeti mnavyojidai navyo! lakini vipi mchango wake kwenye jamii yetu? Hivi leo Mzee Bakressa akiteuliwa kuwa mbunge na waziri wa viwanda kuna ambaye anaweza kubeza kuwa hana hata masters!! Wenye masters tunao mitaani wamechoka hawana hata Ubuntu wa kufanya chochote!! Msitutishe na vyeti, tutisheni kwa kuonesha mchango wenu chanya kwenye jamii!! Otherwise just shut up!
Huyo mtu anafanyaje kazi bila elimu ya anachotakiwa kufanya.?Masters haifanyi kazi,afanyaye kazi ni mtu
Sawa mheshimiwa DoctorKama mtaendeleà na mentality ya kizamani ya kuangalia vyeti na maharaja, mtasubiri sana! Dunia ya leo inaangalia watu wanaoFANYA vitu, watu waliothibitisha uzoefu wa kufanya vitu chanya kwenye jamii!! Elon Musk hana vyeti ambavyo mnajidai navyo, lakini dunia inamtambua kwa ku-deliver na anawatumikisha hao hao wenye vyeti na wasomi kuliko yeye! Bill gates hana vyeti wala shahada yoyote lakini lakini mchango wake kwenye hii sayari ni nani asiyeujua? Mzee Bakressa hana vyeti mnavyojidai navyo! lakini vipi mchango wake kwenye jamii yetu? Hivi leo Mzee Bakressa akiteuliwa kuwa mbunge na waziri wa viwanda kuna ambaye anaweza kubeza kuwa hana hata masters!! Wenye masters tunao mitaani wamechoka hawana hata Ubuntu wa kufanya chochote!! Msitutishe na vyeti, tutisheni kwa kuonesha mchango wenu chanya kwenye jamii!! Otherwise just shut up!
waziri ni kazi za usimamizi tu,mtendaji wake ndio anakuwa msomi.Waziri sio lazima awe na madigiriiHuyo mtu anafanyaje kazi bila elimu ya anachotakiwa kufanya.?
Yaani kwasababu wewe ni mtu, basi unataka kutuaminisha unaweza kufanya chochote bila maarifa?
Wenzako hawahitaji ajira kama unavyotafuta wewe, bali wanaanzisha vitu vinavyozalisha ajira!! Halafu wakajimbanua kwa vitu vya kusaidia jamii, hapo nafasi kubwa zinawafuata!! Hawatembezi bahasha kama wewe! Acha kulalamika, acha wivu, buni na anzisha vitu na jamii itakuona! Usituoneshe cheti, tuoneshe vitu! Deliver! Otherwise just shut up!!Mfano hawa viongozi wengi hizo nafasi wangekua wanaomba kupitia ajira portal, wapite written.....practical afu oral hamna hata moja atakaepenya.
Mkuu umenielewa kweli nlichokiandika?Wenzako hawahitaji ajira kama unavyotafuta wewe, bali wanaanzisha vitu vinavyozalisha ajira!! Halafu wakajimbanua kwa vitu vya kusaidia jamii, hapo nafasi kubwa zinawafuata!! Hawatembezi bahasha kama wewe! Acha kulalamika, acha wivu, buni na anzisha vitu na jamii itakuona! Usituoneshe cheti, tuoneshe vitu! Deliver! Otherwise just shut up!!
Who the hell are u to shut me up? Naona umetumwa kuja kujielezea maparagraph yako hapa! The point is cv imeandikwa mbaya na ni fake! We endelea kusifu na kuabudu kimpango wako acha kutushirikisha sisi!Kama mtaendeleà na mentality ya kizamani ya kuangalia vyeti na maharaja, mtasubiri sana! Dunia ya leo inaangalia watu wanaoFANYA vitu, watu waliothibitisha uzoefu wa kufanya vitu chanya kwenye jamii!! Elon Musk hana vyeti ambavyo mnajidai navyo, lakini dunia inamtambua kwa ku-deliver na anawatumikisha hao hao wenye vyeti na wasomi kuliko yeye! Bill gates hana vyeti wala shahada yoyote lakini lakini mchango wake kwenye hii sayari ni nani asiyeujua? Mzee Bakressa hana vyeti mnavyojidai navyo! lakini vipi mchango wake kwenye jamii yetu? Hivi leo Mzee Bakressa akiteuliwa kuwa mbunge na waziri wa viwanda kuna ambaye anaweza kubeza kuwa hana hata masters!! Wenye masters tunao mitaani wamechoka hawana hata Ubuntu wa kufanya chochote!! Msitutishe na vyeti, tutisheni kwa kuonesha mchango wenu chanya kwenye jamii!! Otherwise just shut up!
Huyo mtu anafanyaje kazi bila elimu ya anachotakiwa kufanya.?
Yaani kwasababu wewe ni mtu, basi unataka kutuaminisha unaweza kufanya chochote bila maarifa?
Basi kuanzia leo mimi ni daktari naanza kutibu watu, si mnataka kuona matendo 😅Masters haifanyi kazi,afanyaye kazi ni mtu
Mkuu wako yupo kazini, haelewi mada yeye ni kutetea tu ka jinga vile!Mkuu umenielewa kweli nlichokiandika?
No wonder hata mama yenu wasomi wanajipigia tu kila wanavyotaka, akiambiwa hili na wasomi anafanya hata kama ni kwa maslahi ya matumbo ya hao wasomi.waziri ni kazi za usimamizi tu,myendaji wake ndio anakuwa msomi.Waziri sio lazima awe na madigirii
Hapo ndio ameandikiwa stationaryAngeomba hata kundikiwa cv aisee
Bora nagekuja nikamuandikia tu hata kama ni uongo loh😀Hapo ndio ameandikiwa stationary