Kama mtaendeleà na mentality ya kizamani ya kuangalia vyeti na maharaja, mtasubiri sana! Dunia ya leo inaangalia watu wanaoFANYA vitu, watu waliothibitisha uzoefu wa kufanya vitu chanya kwenye jamii!! Elon Musk hana vyeti ambavyo mnajidai navyo, lakini dunia inamtambua kwa ku-deliver na anawatumikisha hao hao wenye vyeti na wasomi kuliko yeye! Bill gates hana vyeti wala shahada yoyote lakini lakini mchango wake kwenye hii sayari ni nani asiyeujua? Mzee Bakressa hana vyeti mnavyojidai navyo! lakini vipi mchango wake kwenye jamii yetu? Hivi leo Mzee Bakressa akiteuliwa kuwa mbunge na waziri wa viwanda kuna ambaye anaweza kubeza kuwa hana hata masters!! Wenye masters tunao mitaani wamechoka hawana hata Ubuntu wa kufanya chochote!! Msitutishe na vyeti, tutisheni kwa kuonesha mchango wenu chanya kwenye jamii!! Otherwise just shut up!