Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 3,689
- 5,409
Mwaka alihongwa ubunge na Unaibu Waziri umekosewa.Bora nagekuja nikamuandikia tu hata kama ni uongo loh😀
Mwaka alihongwa ubunge na Unaibu Waziri umekosewa.Bora nagekuja nikamuandikia tu hata kama ni uongo loh😀
Halafu kuna punga hapo juu linamtetea eti nafasi ilimfuata! Mtu kaandika vitu vya hovyo ukweli usisemwe😃Mwaka alihongwa ubunge na Unaibu Waziri umekosewa.
Mkuu samaki huoza kuanzia kichwani, elimu ya hapa na pale .Kwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Huenda ndo mwenye CV yake anajitetea.Mkuu wako yupo kazini, haelewi mada yeye ni kutetea tu ka jinga vile!
Unategemea nini ikiwa mliyempa ofisi kuu tu amesomea degree ya mambo mbalimbaliKwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
mnawachukulia poa sana politicians wote eeh,Kwa ule moto tunaopitishwa na utumishi hakuna kima angepita huo msoto zaidi ya kuforce connection zao basi!
Tujikite kwenye mada!mnawachukulia poa sana politicians wote eeh,
Tunasahau nao pia wapo kibao tu ambao ni wahasibu, wanasheria, mainjinia, madaktari, procurement officers, ustawi wa jamii, n.k.
wamepitia hiyo hiyo michakato ya shule kama mliyoipitia nyie.
Na wapo ambao enzi za shule walikuwa vipanga.
So, huko utumishi wangetoboa tu kama wengine wanavyotoboa.
Kiuhalisia, ni rahisi mtu kutoboa huko utumishi kuliko kutoboa mchakato wa kuwa a high profile politician.
Jaribu uone.
Kuhusu interview, wao pia wanafanyiwa interview sana tu, especially for a common person who is an aspired politician anayeanza anza career yake ya siasa.
Mpaka afike juu huko, mchakato ni mrefu, na wengi wanakata tamaa.
Nafasi za juu ni chache na wanaozitaka ni wengi.
So ni pagumu ile ile.
Hata ikitokea umepita mchakato kwenye tawi au shina kuanzia kitongoji, kata, wilaya, n.k
Bado utakula kejeli, matusi na kushambuliwa kwenye majukwaa ya kisiasa.
Watashambulia mpaka nduguzo (wazazi, watoto wako, kaka zako, dada zako, n.k).
wata-dig, wata-excavate kila kitu (sexual history, family history, financial history, academic history, n.k)
Na ukiwa wa kike, mrembo na hauna connections, usipokuwa makini utatumika kingono extensively na hata hizo positions unaweza usipate.
Kwa kifupi ipo hivi, popote "panapolipa" hapajawahi kuwa parahisi.
Vinginevyo labda uwe na connection.
Umeona Masters ndo elimu!? Una Masters halafu unatembea na bahasha yako kwenda kuomba kazi kwa Bakhresa wa darasa la B. Sasa kati yako na Bakhresa nani kanufaika na elimu yakeDaaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Kwani Jenister Mhagama alikuwa na Elimu gani!?Kwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Sasa alifanya kitu gani cha kustua jamii zaidi ya kupwaya kila idara.Kwani Jenister Mhagama alikuwa na Elimu gani!?
Una uhuru wa kuongea utakayoNo wonder hata mama yenu wasomi wanajipigia tu kila wanavyotaka, akiambiwa hili na wasomi anafanya hata kama ni kwa maslahi ya matumbo ya hao wasomi.
Waziri angalau uwe na elimu ya kutosha kupangua hoja za wasomi mnapokuwa mezani, sio darasa la saba aongozwe na mapro.
Udaktari ni kazi ya kitaaluma,uwaziri sio kazi ya kitaalumaBasi kuanzia leo mimi ni daktari naanza kutibu watu, si mnataka kuona matendo 😅
bro mimi ni retired man,nimefanya kazi nyingi tu nje ya nchi hii,nimezaliwa na mzazi mmoja mtanzania na wa pili sio mtanzania.Nina makazi nje na ndani ya nchi,nineoa nje ya ya nchi na tanzania pia.Sio mtu wa siasa,sina chama cha siasa na sihitaji mtu wa kunipa kazi.Siandiki kujikomba kwa mtu naandika kutoa mawazo yangu huru kabisaMama Tanzania ataendelea siku tutakapokuwa serious na SIASA!
na sihitaji kazi ya Mwambie bi msumi akuteue sasa 😂
Huyu ana elimu ya kuunga na gundi kama mwalimu instinct desire aliyedai wabunge waanze kuwa na shahada mbili shahada zenyewe ndio hizo hata vyuo husika hawazitambui.Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132