Wasifu wa Naibu Waziri wa Ajira Eveline Munisi

Kwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.

Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
 
Kwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters).

Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu!
Katiba inasema darasa la saba
 
Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Masters yako ina impact gani kwenye jamii bob
Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132

??...wangapi waliojaza hizo doctorate kwenye makaratasi yao lakini hatuoni hizo deliverable na impacts za makaratasi yao katika nafasi walizopewa?
Mimi nadhani tukiendelea kupimaa uwezo wa mtu kwenye nafasi hizo za kisiasa kwa wingi wa vikao vyake darasani kama Taifa tutaendelea kufeli kila siku.
 
Angeomba hata kundikiwa cv aisee
 
Unashauri nini kifanyike?

Haiwezi kubadili kitu, lakini tukiona kasoro lazima tutasema tu! Mbona wao kuna ahadi wanatoa na hawatimizi?

Haimpi mtu nafasi ya uongozi ila ujinga uanikwe tu!
 
Hizo online unaziona ziko sawa afu sio uhalisia ukicheki Google hivyo vyuo hakuna isipokuwa kimoja tuseme nchi inaongozwa na vilaza mtupu na uhakika form four anafour ya mwishoni huko karibu na zero
 
Huyu na mteuzi hawatofautiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…