Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Mie ni muislam naomba mwenyezi mungu anisamehe.... ila mtume kuoa mtoto wa miaka 9 ilikuwa ni tamaa binafsi tu.
Ningekupuuza lakini kwa kuwa umedai wewe ni Muislam najilazimisha kukuusia. Nakuusia pamoja na kujiusia Mche Allah BinSalum. Usiitupe Neema ya Uislam kwa kutaka sifa kidogo tu kutoka kwa watu wa Jf.

Niishie hapo.
 
Washirikina nyie SAWA na wale waruka na ungo mna miungu kibao bado masanamu 🤣🤣🤣
Kwenye biblia kitabu usichotumia ww. Mambo yako we oa cha miaka 9 ndo maana hukutaka visome ili uwe unavioa tu
 
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).

Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.

Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.

Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.

Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.

''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''

Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''

''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.

Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960

EDUCATION
  • School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
  • Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
  • Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
  • Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
  • Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
  • Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
  • National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
  • Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
  • Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
  • Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
  • Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
  • Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
  • Company Name Position From To
  • The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
  • Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
  • Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
  • Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
  • Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
  • World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
  • Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986

POLITICAL EXPERIENCE
  • Ministry/Political Party/Location Position From To
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Hapo kwenye EDUCATION hapaeleweki kabisaa.! Yaani inaonesha kila shule kasoma mwaka mmoja mmoja.
 
Washirikina nyie SAWA na wale waruka na ungo mna miungu kibao bado masanamu 🤣🤣🤣
Kweli huwa tunamponda mawe shetwaini huko macca. Nani alikuambia shetani yuko sehem flani tu? Mwezi mtukufu uliuona wapi wakati mwezi ni ule ule 😂😂😂
 
Ulisikia wapi na Ile ni sehemu ya kihistoria mbona nyie mnaweka masanamu ya yesu kanisani kwa hyo mungu yupp kanisani tu na mnarnda kuyaomba🤣🤣
Kweli huwa tunamponda mawe shetwaini huko macca. Nani alikuambia shetani yuko sehem flani tu? Mwezi mtukufu uliuona wapi wakati mwezi ni ule ule 😂😂😂
 
Ulisikia wapi na Ile ni sehemu ya kihistoria mbona nyie mnaweka masanamu ya yesu kanisani kwa hyo mungu yupp kanisani tu na mnarnda kuyaomba🤣🤣
Tunaonesha jinsi alivyoteswa, na hatuiti yesu bali ni michoro ya kuonesha alivyoteswa msalabani. NB: Dunia ina mwezi mmoja tu hivyo hatuna mwezi uliotuka na muovu. 😂
 
Tunaonesha jinsi alivyoteswa, na hatuiti yesu bali ni michoro ya kuonesha alivyoteswa msalabani. NB: Dunia ina mwezi mmoja tu hivyo hatuna mwezi uliotuka na muovu. 😂
Kwao yule ndo yesu yaani mungu kateswa na binadamu wak yaani nyie akili hamna ya kufikiria🤣🤣🤣
 
Kwaresma vip yesu hakufunga au mnamfuata paulo
Tunaonesha jinsi alivyoteswa, na hatuiti yesu bali ni michoro ya kuonesha alivyoteswa msalabani. NB: Dunia ina mwezi mmoja tu hivyo hatuna mwezi uliotuka na muovu. 😂
 
Mtoto wa miaka 9 hawezi kuolewa! Sema alichukuliwa kwa nguvu!! Huo umri hautoshi kufanya maamuzi halali ya kuingia kwenye unyumba! Anayebisha aweke wazi hapa halafu aruhusu Binti yake aolewe akiwa na miaka 9!
Sasa aliyefanya hivyo si ni Mtume wa ALLAH (S.A.W)
 
miili ya watu wa zamani si sawa na Sasa hivi.
Mtoto wa miaka 9 kipindi hicho alikuwa msichana mkubwa.
Ndo maana kuna majitu yalikuwa yanaishi mpaka miaka 1,000.
Yaani mtoto mdogo ni miaka 1,00
kwa hyo usifanananishe miaka 9 ya Sasa hivi na miaka 9 ya kipindi Cha miaka ya Muhammad.
Imepita miaka 1400+ tangu mtume aishi duniani.
Sasa si alikuwa hajakomaa viungo vya uzazi? Au alipomuoa alimuacha kwanza mpaka alipokomaa ndio akamfanya?

Miaka 9 huoni ni Ubakaji?
 
Sasa nyie wafuasi wa paulo si mko vikundi vingi kama band unayajua makanisa yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakuja vibaya na chuki zako binti. Uislam una madhehebu zaidi ya 100 kwasasa na mbaya zaidi wana bifu wenyewe kwa wenyewe ndio maana hata management ya kuwaletea na kujadili maendeleo yao hawana

Migogoro yao ni dhahiri kila mahala hata hapa nchini. Wanapishana hata siku ya kusheherekea sherehe za IDD, Wakati huo wakristo wana madhehebu mengi yenye maendeleo na huwasikii wakigombana

Mada haikuwa ya kidini ila ninyi mnaanzisha udini, tutafika mbali
 
Sasa si alikuwa hajakomaa viungo vya uzazi? Au alipomuoa alimuacha kwanza mpaka alipokomaa ndio akamfanya?

Miaka 9 huoni ni Ubakaji?
alimuoa kisha akawa kwao mpaka alipopevuka ndio akamchukua na huu utaratibu unafanyika mpaka leo unaweza kuozeshwa kisha akaishi kwao mpaka utakapofika wakati anafaa kuingia kwenye mahusiano ndio unakabidhiwa.

na ni jambo la kawaida kwa waarabu.
 
Back
Top Bottom