Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Dishonourable discharge .
Kwa taasisi kama hiyo sio mbaya Sana maana imeongeza CV kiaina, isitoshe nchi kubwa zina uwezo wa kukubakiza au kukutosa zikitaka

...ila kutoka kuwahi kuwa Foreign minister (FM) mpaka ambassador ndiyo utata.
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Mkuu mbona Mbowe aliishia form 4 na bado 2005 Chadema walitaka tumchague awe raisi wetu?
 
Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Magufuli kasoma shahada zake zote UD; chuo kinachoongoza kwa ubora Tanzania. Habari ya elimu ya hapa na pale umeitoa wapi?

Wenye elimu ya hapa na pale walijaribu hata Hull University ikashindikana.

Even if you didn't like him, you should at least respect what he accomplished.
 
Ni kweli alisoma lakini kuna wakati alibadilika na kuwa kama mganga wa kienyeji
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Kwani kwako wewe NGO unaielewaje?
 
Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe 🇿🇼 imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone
 
Magufuli kasoma shahada zake zote UD; chuo kinachoongoza kwa ubora Tanzania. Habari ya elimu ya hapa na pale umeitoa wapi?

Wenye elimu ya hapa na pale walijaribu hata Hull University ikashindikana.

Even if you didn't like him, you should at least respect what he accomplished.
Labda anamaanisha kuwa hakupata qualifications za moja kwa moja za kuweza kuingia Form 5, ili kuingia moja kwa moja university.
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Ni kweli, alikuwa anagawa Michele na akajulikana jimboni kama mama Michele na akapata Jina na akagombea ubunge. Watu wanapenda vya bure usisikie, mchele ukamtoa.
Bwana misosi nitoke vipiiiiiii!
 
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Na wala hakuwahi kuwa na University Degree
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Ulisikia CV kubwa ndio kufanya vizuri. Wenye CV za kutisha wengi wamebakia kuharibu tu...
 
Back
Top Bottom