Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yeye alitamka ni mwana wa mamlaka yote alipewa. Ko ameketi na baba yake sa hivi kukujadili🤣🤣🤣🤣Kwa situation hyo tunakubali Sasa he hapo yesu ni mwana wa mungu au mungu
Ko maza
Hakupiga sec? Mbona 18 tu mjengoni.[emoji16]
Imani potofu tusizozitaka sa hvi.mtoto wa kike hakuzaliwa kwa ajili ya kusoma
Utamaduni wa Makunduchi hauna pingamizi juu ya hilo!!Mdogo akati alishafikisha umri wa Miaka 18 kabisa
Imani potofu tusizozitaka sa hvi.
Ko na wewe unaliunga mkono la mtoto wa kike kutosoma? Hayo majukumu Mungu aliyaagiza lini?Na ndio maana mwanamke anatimiza 40 bado hajaolewa Sababu ya USOMI
🤣🤣Mungu wako wangapi na wapi mungu kasema ana mtotoHata yeye alitamka ni mwana wa mamlaka yote alipewa. Ko ameketi na baba yake sa hivi kukujadili
Hiyo ni kwa Tanganyika, Zanzibar hali imekuwa tofauti tangu siku nyingi sana. Kumbuka wakoloni wakija Dark continent, kwa upande wa east africa entry point yao ni Zanzibar. Ilikuwa wanaenda ubalozi wa uingereza kupewa michongo ya ku-explore Tanganyika. Infact, kwa muda mrefu kulikuwa na usafiri wa meli ya moja kwa moja kutoka Zanzibar hadi US ambapo meli hii ilisitisha safari zake katika robo ya kwanza ya karne ya 19 (1820s). So Zanzibar iliamka siku nyingi sana kiasi hakukuwa na shida ya kuanza shule kwa kuchelewa.Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Wafuasi wendawazimuNani atanichoma !!
Wewe ndio huzijui, umekaririshwa.Wwe unajua kazi ya kurea mme na watoto kwa sheria za kislamu zilivyokandamizi kwa mtoto wa kike?Samia kasoma elimu ya watu wazima tu,tusidanganyane vyeti vingine kafoge tu.
Dadeki 😅😅😅😅Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Mwache mtumishi wa watu[emoji1787]Ulisoma SECONDLY gani mura
Mkurya huyo.Kurea au kulea
Uislamu umeingiaje mtaje mama ako aliyekuzaa
🤣🤣🤣🤣Mkurya huyo.
Fikirisha ubongo wako hapo.Umejuaje ni tamaa...
Sawa Laabid.Laana Kum wewe
Hiyo ni laana wacha kejeli dunia ni mpito hujui utendaloSawa Laabid.