Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wwe unajua kazi ya kurea mme na watoto kwa sheria za kislamu zilivyokandamizi kwa mtoto wa kike?Samia kasoma elimu ya watu wazima tu,tusidanganyane vyeti vingine kafoge tu.
Kurea au kulea

Uislamu umeingiaje mtaje mama ako aliyekuzaa
 
Ungekuwa unajielewa kidogo tungebishana ila choko mwenyewe ndo wewe kabishane na punguani wenzio kejeli za kishamba dharau jiangalie
Amepanic baada ya kukosa hoja, kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
 
Kurea au kulea

Uislamu umeingiaje mtaje mama ako aliyekuzaa
Sema nini, punch huzijui kazi yako kupanic tu. Haijifichi hyo maana itikadi kandamiz kwa wanawake zinajulikana hata leo huko afghanstan, uarabuni n.k
 
Yuko sahihi miaka hiyo ya sabini hata nafasi za kusoma zilikuwa chache sana na alikiwa tayari mtu mzima. Hata hao wazungu (UK) ambao ndio wanaonekana wanausasa wa jinsia moja, sheria yao ya ndoa mpaka April 2022 ilikuwa inaruhusu ndoa kuanzia miaka 16. Mwezi uliopita ndio England + wales wameongeza umri wa kuoa kufikia miaka 18.

Malkia Elizabeth aliolewa akiwa na miaka 21 ambapo kimsingi hamna tofauti na miaka 18. Yupo sahihi, mila na desturi zinamtaka aoelewe mapema.
 
Sema nini, punch huzijui kazi yako kupanic tu. Haijifichi hyo maana itikadi kandamiz kwa wanawake zinajulikana hata leo huko afghanstan, uarabuni n.k
Kandamizi huoni kama mwanamke haruhusiwi kuuliza swali kanisani hujielewi nafasi ya mwanamke na mwanaume hujitambua tatizo feminist wewe ngoja tu utaolewa uendeleze harakati zako
 
Sibashani na zero yesu hakuoa kabisa so alikuwa na matatizo au gay
 
Hahaaa! Labda kanisa la mchongo, yaani mwanaume uulize swali halafu mwanamke asiruhusiwe kuuliza swali? Hapo ni BIG NO. Huna hoja ya msingi we ndo ushaolewa huenda maana kauli hz wanaume huwa hatuzitoi kama hazituhusu.
 
Sasa nyie wafuasi wa paulo si mko vikundi vingi kama band unayajua makanisa yote 🤣🤣🤣
 
Sibashani na zero yesu hakuoa kabisa so alikuwa na matatizo au gay
Taratibu nakuona we ndo zero. Alikuja kwa malengo yake na siyo kuweka familia duniani. Hayo huwezi kuyaelewa maana umejenga chuki moyoni mwako.
 
Mama ya ni mwislam najua sheria zao,na Samia ni mtoto wa kislamu ndio maana kaolewa na Mtu mwenye wake wawili.
Kwa nn unaleta ushamba kwny iman za watu kaulize wakubwa wako enzi izo watu wameolwa na Miaka mingapi

Hamna akili na adabu 18 miaka ni midogo
 
Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Hata wewe hujasoma bwana, secondly ndio nini?! Tena umeandika hivyo zaidi ya mara moja. Waliosoma wangesema “Secondary “.
 
Taratibu nakuona we ndo zero. Alikuja kwa malengo yake na siyo kuweka familia duniani. Hayo huwezi kuyaelewa maana umejenga chuki moyoni mwako.
We unafuata Nan sasa mtu ambaye hakuwa hata na mke huoni kama mfuasi wa paulo una tabu usioe na wenye nyege zikusumbue maana umekuwa gay
 
Sasa nyie wafuasi wa paulo si mko vikundi vingi kama band unayajua makanisa yote 🤣🤣🤣
Yote nayajua na huwa nayatembelea. Wanawake ni viongozi makanisani na wanahoji, wapo mama wachungaji na wapo masister.
 
Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Acha ushamba samia kaaza shule mapema kwa sababu alikuwa mpaka leo nï bright halafu babake alikuwa mwalimu kwa hivyo alipofikisha miaka mitano alianza la kwanza.
 
Back
Top Bottom