Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Yeye Mweupe kichwani kawa Rais, angekuwa na Akili si angekuwa Mfalme?

Wewe na akili zako zote umeishia kuwa Mchangiaji mwenzangu wa Jf, sasa ungekuwa mweupe kichwani sijui ungekuwa wapi?
Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
 
Yeye Mweupe kichwani kawa Rais, angekuwa na Akili si angekuwa Mfalme?

Wewe na akili zako zote umeishia kuwa Mchangiaji mwenzangu wa Jf, sasa ungekuwa mweupe kichwani sijui ungekuwa wapi?
Kuna watu wanatoa michango ya kipumbavu kabisa. Halafu wakijibiwa na kukasirika hukimbilia kuona kama vile wameonewa.
 
Wakikosa cha kuandika huingilia faragha za watu, hii ni ya facebook sio JF.
Historia ya mheshimiwa rais ni nzuri maana ni kioo cha jamii nyingi hasa wadada. Ukiijadili vzr hii Inaweza kutufanya tubadili sheria zetu kuwa olewa huku ukipiga kitabu. Na wanaume tukakubaliana nalo kwa kuwaruhusu wake zetu kupiga kitabu.
 
Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Umesoma na hata ujumbe wa nyumba Kumi hauna hadhi iyo pambana elimu yako ya mchongo
 
Yeye Mweupe kichwani kawa Rais, angekuwa na Akili si angekuwa Mfalme?

Wewe na akili zako zote umeishia kuwa Mchangiaji mwenzangu wa Jf, sasa ungekuwa mweupe kichwani sijui ungekuwa wapi?
Mambo ya mchongo tu. Kuwa rais siyo sifa kuwa wewe siyo mweupe 😂😂 tuheshimu michango ya watu.
 
Umesoma na hata ujumbe wa nyumba Kumi hauna hadhi iyo pambana elimu yako ya mchongo
Hakusoma ili awe mjumbe wa nyumba 10, na kuwa rais hakuondoi uhalisia wa historia yako. Chief mangungo unajua kwa nini aliwaingiza watu mkengeni? Tustuke wadau na hz safar isije ikawa ya chief mangungo
 
Mie ni muislam naomba mwenyezi mungu anisamehe.... ila mtume kuoa mtoto wa miaka 9 ilikuwa ni tamaa binafsi tu.

Miaka aliyoishi Muhamad life expectancy ilikuwa labda miaka 30 na kitu pekee kilichoangaliwa ni puberty kama msichana akishavunja ungo ina maana anaweza kuzaa na ndio kitu muhimu isitoshe leo hii Somalia hata Tanzania yenyewe hasa Kusini wapo mabinti wanaolewa baada tu ya kuvunja ungo, na ni wengi sana tu ukienda Morogoro, au kwa akina Nape huko Ntwara na Lindi mpaka Tunduru huko ukitembea Tanzania hii utashangaa, watu wengi wanaishi kama miaka 1000 iliyopita hata Serikali hakuna na wala hawaijui!
 
Usichokielewa ni kwamba miaka hiyo Zanzibar walikuwa wanaruhusu wanafunzi kuoa na kuolewa na huku wanaendelea na masomo. Walikuja kuzuia 1984, waliokuwa kwenye ndoa wakapoteza shule.
Wwe unajua kazi ya kurea mme na watoto kwa sheria za kislamu zilivyokandamizi kwa mtoto wa kike?Samia kasoma elimu ya watu wazima tu,tusidanganyane vyeti vingine kafoge tu.
 
Hakusoma ili awe mjumbe wa nyumba 10, na kuwa rais hakuondoi uhalisia wa historia yako. Chief mangungo unajua kwa nini aliwaingiza watu mkengeni? Tustuke wadau na hz safar isije ikawa ya chief mangungo
Ungekuwa unajielewa kidogo tungebishana ila choko mwenyewe ndo wewe kabishane na punguani wenzio kejeli za kishamba dharau jiangalie
 
Back
Top Bottom