Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Winston Churchill si mfano mzuri hapa.

Huyu ni mtu ambae, by age of 25, alikuwa ameshatembelea nchi kama America, India, Sudan, South africa, nk
Akiwa kama mwanajeshi, jasusi na hata mwandishi wa habari.
Hapa tayari alikuwa ana degree ya kwanza, ijapokuwa shule ilimshinda.

Pia katika umri huohuo, alichaguliwa kuwa membe r of parliament.
 
CV ya Samia ni: 2021
CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2) 2021 -...... Jemadari mkuu wa majeshi yote Tanzania
3) 2015 - 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
4)
 
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.

Daudi alikua akichunga mifugu ya mzee wake.
 
Namshukuru kaniepusha kuolewa na Mwanaume mwenye gubu kama wewe!

Unahangaika, unatapatapa kisa Samia kawa Rais.

Anyway tufanye Samia ana CV mbovu km unavyotaka, hiyo haimuondolei yeye kuwa ndio Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu.
Hizo CV kazikwe nazo pale Chettle
 
Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu tu, Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Elimu ya hapa na pale unamaanisha nini?
Magufuli ana
1. Diploma ya Ualimu( Chemistry &Mathematics)
2. Degree ya Ualimu/UDSM (Chemistry)
3. Masters/ Uzamili (Chemistry)
4. PH D(Chemistry).
Research: Arcardic Acid in rusting prevention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…