Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe [emoji1269] imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone
Hapana samia tumepigwa.
 
Uongo!

Churchill alitoka familia kubwa na elite, hivyo hawezi kuwa karani kama jinsi unavyofikiria karani!
Churchill kweli alikuwa elite family na alipita jeshi. Kwanza alikuwa critic wa sera za Waziri Mkuu Sir Neville Chamberlain kuhusu Ujerumani. Neville alipoachia ngazi akampendekeza Churchill ambaye alikuwa hardliner wa vita hivyo ni mtu sahihi kwa muda sahihi na pia ni kutoka elite family yenye rekodi wabunge hawatatumia muda mwingi kumpinga
 
CV ya Samia ni: 2021

CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2) 2021 -...... Jemadari mkuu wa majeshi yote Tanzania
Kuna wadau walisema kwamba hivi ni vyeo vya hisani (vya kurithi).

Tunataka ile CV yenyewe haswaa.
 
Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe 🇿🇼 imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone
Mandela alikua Mwanasheria
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Primary school jang'ombe
Secondary school wete pemba
Etc[emoji16][emoji16]
 
Elimu ya hapa na pale unamaanisha nini?
Magufuli ana
1. Diploma ya Ualimu( Chemistry &Mathematics)
2. Degree ya Ualimu/UDSM (Chemistry)
3. Masters/ Uzamili (Chemistry)
4. PH D(Chemistry).
Research: Arcardic Acid in rusting prevention
Magufuli PhD.

Samia hana Curriculum Vitae.
 
Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe 🇿🇼 imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone
Shida ya wabongo ndo hii sasa, wewe umeombwa CV ya SAMIA badala ya kuileta umeanza kuleta porojo za Mugabe.

Kwahiyo kwa hoja yako unataka tuamini kwamba Samia hana kisomo ila anaweza kuongoza? Okay tumekubali, lakini tunataka CV yake kama ipo.
 
Uelewa wa hawa jamaa ni changamoto sana.

Wamezoea janja janja na ukanjanja.
 
Back
Top Bottom