Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe [emoji1269] imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone