Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Siamini kama swali Rahisi hivi MAKADA washindwe kujibu.
MAKADA wenyewe wanashangaa hawaelewi ni kwanini mwenyekiti hana CV.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama swali Rahisi hivi MAKADA washindwe kujibu.
Uraisi kwa Tz ni kama kujua kuendesha baiskeli tu
Ok hana CV.MAKADA wenyewe wanashangaa hawaelewi ni kwanini mwenyekiti hana CV.
Hata kama.Haituhusu mradi ndiyo rais wetu. Mama
Mungu amjalie maisha marefu.
Punguza jazba.Ok hana CV.
So what next....
Ndugu Huwa naona unacopy na kupaste data mbalimbali kujibu Hoja.Harafu ukiiona ndio itakuongezea ugali?
Watu wenye little IQ mna shida sana yaana yaani mnaamini Sana makaratasi yenu hayo.
Watu wako busy kulamba asali, nyie huku endeleeni kutafuta majibu ya CV...swali liloulizwa ni rahisi sana kulijibu.
..tatizo ni uwezo mdogo wa Uv-Ccm ambao wanawajibika kutoa majibu.
..hoja zinapowekwa mezani, Uv-Ccm badala ya kujibu, hushtaki kwa Polisi kuwa wametukanwa, au kuna uchochezi.
CV ya Migiro inaweza kuwa ni kubwa kuliko ya Bi Samia ila hebu angalia alivyoingia kwenye Politics na kufikia alipofikia ni Bahati yake tu.Unamaanisha nini bwana mkubwa?
Not jazba, tuambie wewe what next kwa sababu ndo keshakuwa hana hiyo CVPunguza jazba.
Hapa sasa nimekuelewa.CV ya Migiro inaweza kuwa ni kubwa kuliko ya Bi Samia ila hebu angalia alivyoingia kwenye Politics na kufikia alipofikia ni Bahati yake tu.
Na trust me amefit vizuri kabisa kwenye nafasi yake hiyo.
Wanawake na haswa wa Visiwani ni Smart mimi huwa namfuatilia sana Shangazi Bi. Fatma Karume ni Akili tupu.
Wanawake wapewe fursa zaidi huenda tukatoboa ka Taifa.
Unajibu kirahc sana, sa ATAGOMBEAJE sa 🙃🙃🙃Ok hana CV.
So what next....
Hamtaki wewe na nani?hizo cv za kuwapendezesha watu hatutaki
Safi sana, hao ndiyo ktk Cv zao wanaandika primary school. Hospital aliyozaliwa. Ukifuatilia vizuri utagundua wanachojaza ni Location.CV ya Samia ni: 2021
CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2) 2021 -...... Jemadari mkuu wa majeshi yote Tanzania
3) 2015 - 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
4)
Usinipeleke puta tafadhali.Not jazba, tuambie wewe what next kwa sababu ndo keshakuwa hana hiyo CV
Nini kugombea, sema ataendelea kuwa Rais mpk Mungu mwenyewe atakapoamua kwa sbb kuwa Rais nchi hakujawahi kuamuliwa na sanduku la kura wala CV za mtu.Unajibu kirahc sana, sa ATAGOMBEAJE sa [emoji854][emoji854][emoji854]
Kumbe kweli una gubu tena una Nongwa.Usinipeleke puta tafadhali.
Bado sijapatiwa CV.
Safi sana, hao ndiyo ktk Cv zao wanaandika primary school.
Sasa bibie we mwenye CV nzuri huna bahati unaishia kudanga tu, lilia bahati mbuuzi weweNilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Labda anaona wivu kwamba ana CV nzuri lkn chini ya asokuwa na CV km zake.Sasa bibie we mwenye CV nzuri huna bahati unaishia kudanga tu, lilia bahati mbuuzi wewe