Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kiongoz
Samia alishawahi kufanya kazi kama masijala yaani registry office pia kwenye shirika la chakula duniani WFP (world food program) Kwa miaka mingi kiielemu yupo vizuri pia ana certificate, na advanced diploma ya public administration- mzumbe university, postgraduate ya economics- university of Manchester na masters ya community in economic development -open university of Tanzania collaborate with southern new Hampshire university shida gani kijana unaangaika
Hiyo sehem ya CV yake
 
Nini kugombea, sema ataendelea kuwa Rais mpk Mungu mwenyewe atakapoamua kwa sbb kuwa Rais nchi hakujawahi kuamuliwa na sanduku la kura wala CV za mtu.
Kama CV ndo zinampa mtu uRais basi Lipumba angeshakuwa Rais
Hivi mkipanda usafiri wa umma, mmesafiri weee, gar inapigwa mkono na traffic.

Anafanya ukaguzi na kugundua dreva Hana lesseni!!

Swali ni kuwa.
Maamuzi ya traffic yatakuwaje?

Maamuzi ya abiria mmoja mmoja yatakuwaje?

Dreva ataamua nn baada ya tukio Kutokea?

Jibu. Ni Rahisi tu, ataomba aende shortcll afu hamtamuona tena.
 
Kiongoz
Samia alishawahi kufanya kazi kama masijala yaani registry office pia kwenye shirika la chakula duniani WFP (world food program) Kwa miaka mingi kiielemu yupo vizuri pia ana certificate, na advanced diploma ya public administration- mzumbe university, postgraduate ya economics- university of Manchester na masters ya community in economic development -open university of Tanzania collaborate with southern new Hampshire university shida gani kijana unaangaika
Hiyo sehem ya CV yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui kwanini nimecheka sana.
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?

*** Kwa mujibu wa wavuti ya serikali ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Wavuti wa Jarida la The Muslim 100, Aljazeera, BBC na yeye mwenyewe.

Kuzaliwa: Tarehe 27/1/1960 huko kijiji cha wavuvi Makunduchi, Zanzibar.

Shule za Msingi na Upili: Za msingi kasoma shule tatu tofauti, kwa majina ni: 1) Chwaka, 2) Ziwani na 3) Mahonda.

Sekondari kasoma shule ya Ngambo huko Unguja, na matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa Mazuri.

Elimu baada ya kidato cha nne: Mwaka 1977 akaenda kusoma mambo ya Takwimu ktk chuo cha Utawala wa Fedha- Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA). Alipomaliza akaajiriwa kama karani Wizara ya Mipango na Maendeleo akiwa na miaka 17 tu.

Ndoa na familia: Mwaka 1978 akaolewa na Bwana Hafidh Ameir ambaye pamoja wamepata watoto wanne, mmoja aitwaye Wanu Hafidh Ameir ni Mbunge viti maalum huko Z’bar kwa tiketi ya CCM. Mumewe Samia amestaafu mwaka 2014 kama Afisa Kilimo.

Elimu zaidi: Mwaka 1986 akaenda soma Diploma ya utawala wa Umma au Public Administration chuoni Institute of Development Management- IDM (Chuo kikuu Mzumbe).

Baada ya hapo akaenda Pakistan kusoma tena Utawala wa Umma chuo cha National Institute of Public Administration in Lahore.

Mwaka 1991 akaenda Hyderabad, India kusoma masuala ya Management ngazi ya cheti chuo cha Institute of Management for Leaders.

Kati ya mwaka 1992-94 alisoma Uchumi ngazi ya Postgraduate Diploma Chuo Kikuu cha Manchester.

Na Mwaka 2015 akapata Masters (uzamili) ya Community Economic Development toka chuo kikuu cha South New Hampshire.

NGOs NA SIASA: Mwaka 1992 Samia alifanya kazi kwenye Project iliyokuwa chini ya World Food Programme (WFP)

Kwa kauli yake mwenyewe aliwahi sema kuwa walikuwa kwenye NGO wakaitoa chini kwa kuipigania mpaka kuwa juu ambapo NGO hiyo ikawa inapewa fedha na wafadhili na hata Mkuu wa NGO (yeye) akawa analipwa mshahara na malupulupu mengine lakini kutokana na figisu figisu za wafanyakazi wenzake baada ya fedha kuingia aliamua kuondoka.

Mwaka 2000: Aliteuliwa kuwa Mbunge viti maalum ndani ya Baraza la wawakilishi na baadae kuteuliwa na Abeid Karume kuwa waziri wa Kazi, Maendeleo ya jinsia na watoto.

Mwaka 2005: Alienda kugombea na kuchaguliwa kuwa Mbunge, baadae akateuliwa kuwa Waziri wa Utalii, Biashara na Uwekezaji.

Mwaka 2010: Akagombea tena kuiwakilisha Makunduchi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2014: J. Kikwete alimteua kuwa Waziri wa Nchi kwa masuala ya Muungano. Mwaka huohuo akateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba wakati wa mchakato wa Katiba mpya.

Mwaka 2015: Akateuliwa na Magufuli kuwa Mgombea mwenza ktk uchaguzi Mkuu walioshinda na akawa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania.

Mwaka 2021: Mwezi machi akaapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa Rais Dr. J.P Magufuli.
 
Kiongoz
Samia alishawahi kufanya kazi kama masijala yaani registry office pia kwenye shirika la chakula duniani WFP (world food program) Kwa miaka mingi kiielemu yupo vizuri pia ana certificate, na advanced diploma ya public administration- mzumbe university, postgraduate ya economics- university of Manchester na masters ya community in economic development -open university of Tanzania collaborate with southern new Hampshire university shida gani kijana unaangaika
Hiyo sehem ya CV yake
Mnahangaika bure tu kumjibu, msidhani kama ataridhika.
Mi nishamsoma huyo ana Nongwa hawezi kukubali liishe.
Tabia ya mtu mwenye gubu huwa analoloma mpaka usiku wa manane watu nyumba nzima wamelala
 
Hapo ndipo mjue tunaitaji kunadili katika iwe kwa manufaa ya wananchi.
Na pia kupunguza kabisa madaraka ya raisi
Kusudi hata akitokea raisi asiye na maono na mwaribifu ashindwe kutumia madaraka yake
Raisi ana madaraka makubwa mno tukipaya raisi wa ovyo anaweza kuuza nchi huku tunajiona na tusimfanye kitu
Simuongelei mama la bali siasa yetu ikivyo ,asilimia kubwa wanao pata uongozi hapa nchini kwetu ni hoya hoya unaweza kukuta alikuwa akishinda kwenye kijiwe cha mafundi viatu pale kawa mzungumzaji mzuri na mtengeneza hoja kwenye ubishi na baadae mpambe mara kawa mbunge amjakaa sawa waziri mara huyooo
Kawa .......tayari mshona viatu kawa kiongozi wenu
Hapa bongo mdomo wako ndio utakufanya uwe kiongozi
Ni mfano mdogo tu huo ambao unahusu katiba mpya
Sasa unakuta huyu jamaa yupo maskani anamponda LISU yani kama vile yeye anajua kuliko Lisu
Hii bongo hii basi tu
Haya kama yule jamaa anamuongelea mayele bungeni .nilijikuta nafumba macho kwa haibu,utausisha vipi mpira na mambo ya vita?hawa ndio wanaotokeaga kwenye maskani ya washona viatu
 
Kuzaliwa: Tarehe 27/1/1960 huko kijiji cha wavuvi Makunduchi, Zanzibar.

Shule za Msingi na Upili: Za msingi kasoma shule tatu tofauti, kwa majina ni: 1) Chwaka, 2) Ziwani na 3) Mahonda.

Sekondari kasoma shule ya Ngambo huko Unguja, na matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa Mazuri.

Elimu baada ya kidato cha nne: Mwaka 1977 akaenda kusoma mambo ya Takwimu ktk chuo cha Utawala wa Fedha- Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA). Alipomaliza akaajiriwa kama karani Wizara ya Mipango na Maendeleo akiwa na miaka 17 tu.

Ndoa na familia: Mwaka 1978 akaolewa na Bwana Hafidh Ameir ambaye pamoja wamepata watoto wanne, mmoja aitwaye Wanu Hafidh Ameir ni Mbunge viti maalum huko Z’bar kwa tiketi ya CCM. Mumewe Samia amestaafu mwaka 2014 kama Afisa Kilimo.

Elimu zaidi: Mwaka 1986 akaenda soma Diploma ya utawala wa Umma au Public Administration chuoni Institute of Development Management- IDM (Chuo kikuu Mzumbe).

Baada ya hapo akaenda Pakistan kusoma tena Utawala wa Umma chuo cha National Institute of Public Administration in Lahore.

Mwaka 1991 akaenda Hyderabad, India kusoma masuala ya Management ngazi ya cheti chuo cha Institute of Management for Leaders.

Kati ya mwaka 1992-94 alisoma Uchumi ngazi ya Postgraduate Diploma Chuo Kikuu cha Manchester.

Na Mwaka 2015 akapata Masters (uzamili) ya Community Economic Development toka chuo kikuu cha South New Hampshire.

NGOs NA SIASA: Mwaka 1992 Samia alifanya kazi kwenye Project iliyokuwa chini ya World Food Programme (WFP)

Kwa kauli yake mwenyewe aliwahi sema kuwa walikuwa kwenye NGO wakaitoa chini kwa kuipigania mpaka kuwa juu ambapo NGO hiyo ikawa inapewa fedha na wafadhili na hata Mkuu wa NGO (yeye) akawa analipwa mshahara na malupulupu mengine lakini kutokana na figisu figisu za wafanyakazi wenzake baada ya fedha kuingia aliamua kuondoka.

Mwaka 2000: Aliteuliwa kuwa Mbunge viti maalum ndani ya Baraza la wawakilishi na baadae kuteuliwa na Abeid Karume kuwa waziri wa Kazi, Maendeleo ya jinsia na watoto.

Mwaka 2005: Alienda kugombea na kuchaguliwa kuwa Mbunge, baadae akateuliwa kuwa Waziri wa Utalii, Biashara na Uwekezaji.

Mwaka 2010: Akagombea tena kuiwakilisha Makunduchi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwaka 2014: J. Kikwete alimteua kuwa Waziri wa Nchi kwa masuala ya Muungano. Mwaka huohuo akateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba wakati wa mchakato wa Katiba mpya.

Mwaka 2015: Akateuliwa na Magufuli kuwa Mgombea mwenza ktk uchaguzi Mkuu walioshinda na akawa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania.

Mwaka 2021: Mwezi machi akaapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa Rais Dr. J.P Magufuli.

Angalau.

Safi... sasa wewe ndio una akili kidogo.

Japo naona umetaja alisoma Pakistan lakini haujasema jina la chuo.

Akaenda India kusoma diploma, sijaona jina la chuo pia.

Hii inakuwa na utata, tunaanza kupata mawazo hasi.

Hebu weka vizuri hii kitu.
 
Sheria inaruhusu karani wa wizara kuajiriwa akiwa under eighteen?
 
Mnahangaika bure tu kumjibu, msidhani kama ataridhika.
Mi nishamsoma huyo ana Nongwa hawezi kukubali liishe.
Tabia ya mtu mwenye gubu huwa analoloma mpaka usiku wa manane watu nyumba nzima wamelala

..Ni lazima mtoa mada ajibiwe bila kujali kama ana nia nzuri au mbaya ktk kuanzisha mada yake.

..Majibu mazuri yanayotolewa yana faida kwa wasomaji wa JF, na jamii kwa ujumla, hayamlengi mtoa mada peke yake.
 
She is now Madam President, Hutaki Kufa mzee, Maana umejewa na Kejeli dhidi ya Mtu anaeshikilia Top office
 
Angalau.

Safi... sasa wewe ndio una akili kidogo.

Japo naona umetaja alisoma Pakistan lakini haujasema jina la chuo.

Akaenda India kusoma diploma, sijaona jina la chuo pia.

Hii inakuwa na utata, tunaanza kupata mawazo hasi.

Hebu weka vizuri hii kitu.

Soma tena, vyuo vyote vimeainishwa.
 
Shule za Msingi na Upili: Za msingi kasoma shule tatu tofauti, kwa majina ni: 1) Chwaka, 2) Ziwani na 3) Mahonda.
Mwaka gani na mwaka gani?

Sekondari kasoma shule ya Ngambo huko Unguja
Shule ya Ngambo?

matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa Mazuri
Alama zake za ufaulu zilikuwaje?

Elimu baada ya kidato cha nne: Mwaka 1977 akaenda kusoma mambo ya Takwimu ktk chuo cha Utawala wa Fedha- Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA)
Baada ya kidato cha nne akaenda chuo cha utawala wa fedha? Elimu ya ngazi gani? Na umesema alifeli mitihani?

Alipomaliza akaajiriwa kama karani Wizara ya Mipango na Maendeleo akiwa na miaka 17 tu..
Aliajiriwa akiwa na umri wa mtoto? (underage)?
 
Alienda kusoma akiwa na miaka 17 na kuajiriwa kama karani wa wizara akiwa na miaka hiyohiyo 17.

Ndugu arudie kuandika tusome vzr.
Hapa shughuli ipo.

Na tunaambiwa alifeli kidato cha nne.

Ngoja tuone.
 
Sheria inaruhusu karani wa wizara kuajiriwa akiwa under eighteen?

Sheria zetu zinakataza ajira kwa watoto chini ya miaka kumi na nne (14-).

Watoto wanaoanzia miaka kumi na nne (14+) wanaruhusiwa kuajiriwa kwa sharti kuwa ajira hizo zisihusishe kazi ngumu zitakazohatarisha ustawi wa mtoto, Samia aliajiriwa kuwa Karani.

Kazi kama za Migodini, Ubaharia melini, Kilimo na Viwandani ni hatarishi kwa watoto chini ya miaka kumi na nane (18) hivyo ni kinyume cha sheria.

Ila sheria imeacha mwanya kwa Wizara kutoa rukhsa maalum kwa watoto kuwepo maeneo hayo ikiwa ni kwa kusudi la Mafunzo, na Mafunzo hayo ni lazima yazingatie usalama wa mtoto.
 
Back
Top Bottom