Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Kumbe kweli una gubu tena una Nongwa
Ndio, nina gubu na nina nongwa kweli kweli.
Sijavunja sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kweli una gubu tena una Nongwa
Gubu nongwa vinakuzeesha dogo kabla ya wakati.Ndio, nina gubu na nina nongwa kweli kweli.
Sijavunja sheria.
Hivi mkipanda usafiri wa umma, mmesafiri weee, gar inapigwa mkono na traffic.Nini kugombea, sema ataendelea kuwa Rais mpk Mungu mwenyewe atakapoamua kwa sbb kuwa Rais nchi hakujawahi kuamuliwa na sanduku la kura wala CV za mtu.
Kama CV ndo zinampa mtu uRais basi Lipumba angeshakuwa Rais
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiongoz
Samia alishawahi kufanya kazi kama masijala yaani registry office pia kwenye shirika la chakula duniani WFP (world food program) Kwa miaka mingi kiielemu yupo vizuri pia ana certificate, na advanced diploma ya public administration- mzumbe university, postgraduate ya economics- university of Manchester na masters ya community in economic development -open university of Tanzania collaborate with southern new Hampshire university shida gani kijana unaangaika
Hiyo sehem ya CV yake
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Mnahangaika bure tu kumjibu, msidhani kama ataridhika.Kiongoz
Samia alishawahi kufanya kazi kama masijala yaani registry office pia kwenye shirika la chakula duniani WFP (world food program) Kwa miaka mingi kiielemu yupo vizuri pia ana certificate, na advanced diploma ya public administration- mzumbe university, postgraduate ya economics- university of Manchester na masters ya community in economic development -open university of Tanzania collaborate with southern new Hampshire university shida gani kijana unaangaika
Hiyo sehem ya CV yake
Kuzaliwa: Tarehe 27/1/1960 huko kijiji cha wavuvi Makunduchi, Zanzibar.
Shule za Msingi na Upili: Za msingi kasoma shule tatu tofauti, kwa majina ni: 1) Chwaka, 2) Ziwani na 3) Mahonda.
Sekondari kasoma shule ya Ngambo huko Unguja, na matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa Mazuri.
Elimu baada ya kidato cha nne: Mwaka 1977 akaenda kusoma mambo ya Takwimu ktk chuo cha Utawala wa Fedha- Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA). Alipomaliza akaajiriwa kama karani Wizara ya Mipango na Maendeleo akiwa na miaka 17 tu.
Ndoa na familia: Mwaka 1978 akaolewa na Bwana Hafidh Ameir ambaye pamoja wamepata watoto wanne, mmoja aitwaye Wanu Hafidh Ameir ni Mbunge viti maalum huko Z’bar kwa tiketi ya CCM. Mumewe Samia amestaafu mwaka 2014 kama Afisa Kilimo.
Elimu zaidi: Mwaka 1986 akaenda soma Diploma ya utawala wa Umma au Public Administration chuoni Institute of Development Management- IDM (Chuo kikuu Mzumbe).
Baada ya hapo akaenda Pakistan kusoma tena Utawala wa Umma chuo cha National Institute of Public Administration in Lahore.
Mwaka 1991 akaenda Hyderabad, India kusoma masuala ya Management ngazi ya cheti chuo cha Institute of Management for Leaders.
Kati ya mwaka 1992-94 alisoma Uchumi ngazi ya Postgraduate Diploma Chuo Kikuu cha Manchester.
Na Mwaka 2015 akapata Masters (uzamili) ya Community Economic Development toka chuo kikuu cha South New Hampshire.
NGOs NA SIASA: Mwaka 1992 Samia alifanya kazi kwenye Project iliyokuwa chini ya World Food Programme (WFP)
Kwa kauli yake mwenyewe aliwahi sema kuwa walikuwa kwenye NGO wakaitoa chini kwa kuipigania mpaka kuwa juu ambapo NGO hiyo ikawa inapewa fedha na wafadhili na hata Mkuu wa NGO (yeye) akawa analipwa mshahara na malupulupu mengine lakini kutokana na figisu figisu za wafanyakazi wenzake baada ya fedha kuingia aliamua kuondoka.
Mwaka 2000: Aliteuliwa kuwa Mbunge viti maalum ndani ya Baraza la wawakilishi na baadae kuteuliwa na Abeid Karume kuwa waziri wa Kazi, Maendeleo ya jinsia na watoto.
Mwaka 2005: Alienda kugombea na kuchaguliwa kuwa Mbunge, baadae akateuliwa kuwa Waziri wa Utalii, Biashara na Uwekezaji.
Mwaka 2010: Akagombea tena kuiwakilisha Makunduchi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2014: J. Kikwete alimteua kuwa Waziri wa Nchi kwa masuala ya Muungano. Mwaka huohuo akateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba wakati wa mchakato wa Katiba mpya.
Mwaka 2015: Akateuliwa na Magufuli kuwa Mgombea mwenza ktk uchaguzi Mkuu walioshinda na akawa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania.
Mwaka 2021: Mwezi machi akaapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa Rais Dr. J.P Magufuli.
Sheria inaruhusu karani wa wizara kuajiriwa akiwa under eighteen?Kuzaliwa: Tarehe 27/1/1960 huko kijiji cha wavuvi Makunduchi, Zanzibar.

Mnahangaika bure tu kumjibu, msidhani kama ataridhika.
Mi nishamsoma huyo ana Nongwa hawezi kukubali liishe.
Tabia ya mtu mwenye gubu huwa analoloma mpaka usiku wa manane watu nyumba nzima wamelala
Angalau.
Safi... sasa wewe ndio una akili kidogo.
Japo naona umetaja alisoma Pakistan lakini haujasema jina la chuo.
Akaenda India kusoma diploma, sijaona jina la chuo pia.
Hii inakuwa na utata, tunaanza kupata mawazo hasi.
Hebu weka vizuri hii kitu.
Mwaka gani na mwaka gani?Shule za Msingi na Upili: Za msingi kasoma shule tatu tofauti, kwa majina ni: 1) Chwaka, 2) Ziwani na 3) Mahonda.
Shule ya Ngambo?Sekondari kasoma shule ya Ngambo huko Unguja
Alama zake za ufaulu zilikuwaje?matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa Mazuri
Baada ya kidato cha nne akaenda chuo cha utawala wa fedha? Elimu ya ngazi gani? Na umesema alifeli mitihani?Elimu baada ya kidato cha nne: Mwaka 1977 akaenda kusoma mambo ya Takwimu ktk chuo cha Utawala wa Fedha- Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA)
Aliajiriwa akiwa na umri wa mtoto? (underage)?Alipomaliza akaajiriwa kama karani Wizara ya Mipango na Maendeleo akiwa na miaka 17 tu..
Tunaambiwa aliajriwa kuwa karani akiwa mtoto wa miaka 17!Sheria inaruhusu karani wa wizara kuajiriwa akiwa under eighteen?
Alienda kusoma akiwa na miaka 17 na kuajiriwa kama karani wa wizara akiwa na miaka hiyohiyo 17.Tunaambiwa aliajriwa kuwa karani akiwa mtoto wa miaka 17!
Aiseee!!!
Hapa shughuli ipo.Alienda kusoma akiwa na miaka 17 na kuajiriwa kama karani wa wizara akiwa na miaka hiyohiyo 17.
Ndugu arudie kuandika tusome vzr.
She is now Madam President, Hutaki Kufa mzee
Wewe wasema.Elimu yake haina utata....
Sheria inaruhusu karani wa wizara kuajiriwa akiwa under eighteen?