Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Anyway tufanye Samia ana CV mbovu km unavyotaka, hiyo haimuondolei yeye kuwa ndio Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu.
Hizo CV kazikwe nazo pale Chettle
Hayo yote ya nini, kama unayo CV ya huyo mtu iweke hapa. Usihangaike na mipasho isiyokuwa na maana.
 
Shule za msingi alisoma miaka ya 1960s mpaka mwaka 1972 akihama ktk shule hizo tajwa.

Mwaka 1973-77 alisoma shule ya upili Ngambo na Lumumba sekondari.

Naam, ilikuwa ikifahamika Ng’ambo na sasa Lumumba sekondari.

Si rahisi kujua.

Bila shaka ngazi ya Cheti.

Nimesema “matokeo hayakuwa mazuri”.

Sheria zetu zinakataza ajira kwa watoto chini ya miaka kumi na nne (14-).

Watoto wanaoanzia miaka kumi na nne (14+) wanaruhusiwa kuajiriwa kwa sharti kuwa ajira hizo zisihusishe kazi ngumu zitakazohatarisha ustawi wa mtoto, Samia aliajiriwa kuwa Karani.

Kazi kama za Migodini, Ubaharia melini, Kilimo na Viwandani ni hatarishi kwa watoto chini ya miaka kumi na nane (18) hivyo ni kinyume cha sheria.

Ila sheria imeacha mwanya kwa Wizara kutoa rukhsa maalum kwa watoto kuwepo maeneo hayo ikiwa ni kwa kusudi la Mafunzo, na Mafunzo hayo ni lazima yazingatie usalama wa mtoto.
Lumumba haijawahi kuitwa Ng'ambo.
 
Nadhani hujui tu namna ya kutafuta taarifa. Hata hapa JF kitu kinachofanana na hicho unachotafuta kilishawekwa. Pekuwa vizuri utaona. Naamini kila kiingiacho JF huwa hakifutiki.

Huyo aliwahi kuwa mbunge/Mwakilishi. Anzia huko.

Niliwahi kuiona, hiyo niliyoona siwezi kuiita CV.

Lakini niseme tu hapa, CCM imeidhalilisha sana nchi yetu kwa kuokoteza kila anayekuwa Mwenzao kuwa kwenye uongozi bila kujali anao uwezo wa kuongoza au la.

Lakini ni lazima nieleweke, sisemi kisomo kizito ndiyo silaha ya uongozi, la hasha, lakini ni sehemu muhimu kwa kiongozi yeyote.
Samia hana kisomo cha kumsaidia ili kuziba penye upungufu wa uongozi alionao.
Hebu acha kutuletea Bhangi hapa, Hao viongozi wenye visomo wameifikisha wapi africa tangu 1960! Ni bora mara 100 ya Abeid Aman Karume darasa la saba, kuliko PHD ya Mugabe au Bokkasa na wengine wengi mno! Kisomo ni takataka tu mbele ya utawala! Utawala ni hekima.. Ndo maana tuna historia ya kiongozi Bora Suleiman ambae silaha yake ilikuwa ni hekima sio kisomo.
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya Samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya Samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
cv ya samia ipo wazi kabisa na yeye ashaielezea waziwazi,hana chochote alichoghushi,kasoma kwa kuungaunga ba kupambana sana
 
Ndugu Huwa naona unacopy na kupaste data mbalimbali kujibu Hoja.

Hebu mjibu huyu Uchwara asijechukua point 3.

Bt at least watu wanaongea Awamu hii maana thread kama hii ingeshafutika mapemaaaa.
Nimeshajibu..au wewe unataka jibu gani?
 
Kwamba shule haina faida?? Yule ndo maana hajui kila kitu na watu wanamuingiza chaka kila siku kwasababu hawezi kujisimamia.

Na ogopa sana mtu mwenye akili ndogo kupewa madaraka makubwa, halafu awe na msimamo wa kujiona kila analofanya yupo sawa.

Leta CV ya SHH hapa tuione.
Ukiacha CV yeye mwenyewe akihojiwa na Zuhura Yunus akaeleza cv yake sasa Mimi nikutafutie mahojiano wakati wewe mwenye shida unafanya nini?

Unaweza kufanya Kazi na NGO ya Kimataifa kama huna shule? Tena alianza kuwa Mbunge kirahisi Sana huko kwao kutokana na wajibu wake kwenye jamii yake wakati anatekeleza majukumu ya NGO.
 
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).

Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.

Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.

Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.

Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.

''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''

Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''

''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.

Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960

EDUCATION
  • School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
  • Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
  • Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
  • Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
  • Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
  • Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
  • National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
  • Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
  • Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
  • Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
  • Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
  • Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
  • Company Name Position From To
  • The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
  • Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
  • Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
  • Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
  • Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
  • World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
  • Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986

POLITICAL EXPERIENCE
  • Ministry/Political Party/Location Position From To
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Asante, Mama Samia CV nzuri mno.
 
Mnauliza CV ya Mkuu wa Nchi, lengo lenu lipi hasa? Mnataka kuipindua nchi? Kwani Royo Tuwa hamjaiona? Watalii wamejaa Serengeti mpaka tumeamua kuwaondoa Wamaasai ili kuzipisha pesa ziingie hazinani. Alaaa!
Mkuu
We huoni
Wamasai wanahamishwa Ngoro Ngoro KWA sababu za ikolojia wakati ikolojia ilishakuwepo kitambo Sana!!?na wanyama hawakudhurika na Hao wamasai!!?Lazima wahoji kuona kwamba kama kozi ya ecology aliwahi kuisoma angalau Topic ya form two!!! Ili tujue anaelewa hicho anachokifanya huko mbugani!!!?
 
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).

Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.

Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.

Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.

Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.

''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''

Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''

''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.

Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960

EDUCATION
  • School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
  • Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
  • Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
  • Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
  • Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
  • Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
  • National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
  • Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
  • Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
  • Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
  • Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
  • Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
  • Company Name Position From To
  • The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
  • Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
  • Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
  • Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
  • Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
  • World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
  • Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986

POLITICAL EXPERIENCE
  • Ministry/Political Party/Location Position From To
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Institute,Institute,Institute? Kuna shule kweli hapo?
 
Back
Top Bottom