Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Tafuta CV ya Rais wa nchi jirani anaemaliza muda wake
Wewe naona unataka kunichosha tu bure.
Hapa namzungumzia samia.
Sijui kama unaelewa muktadha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta CV ya Rais wa nchi jirani anaemaliza muda wake
Narudia kule kule watu wajinga na wenye IQ ndogo
RubbishHaujakidhi vigezo vya kujadili IQ.
Maana hauwezi hata kuandika.
Mbunge yupi? Wa wapi?Mkuu kwani mbunge wa hapa yuko wapi
Cv yangu ni mali zangu sio makaratasiUtajiju.
Weka CV.
Inasaidia nini mkuu...Itasaidia kuondoa utata wa elimu yake.
Mali zako hazinihusu.Cv yangu ni mali zangu sio makaratasi
Winston Churchill si mfano mzuri hapa.Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Inasaidia kuondoa utata wa elimu yake.Inasaidia nini mkuu...
CV ya Samia ni: 2021Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Nani kakuambia elimu yake ina utata? Utata utakuwa nao wewe mwenyewe kwenye kichwa chakoItasaidia kuondoa utata wa elimu yake.
Hapandipo nachoka. Mnamsingizia Mungu mambo ya ajabu kabisa. Mungu ndiye anayepanga watu waibe kura ili wawe marais?
Elimu yake haina utata....Inasaidia kuondoa utata wa elimu yake.
MKUU.
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Namshukuru kaniepusha kuolewa na Mwanaume mwenye gubu kama wewe!Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Jikite kwenye hojaKama Jiwe aliweza kuongoza JMT kwa miaka 5, yeyote ataweza.
Elimu ya hapa na pale unamaanisha nini?Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu tu, Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app