Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Hapana samia tumepigwa.
 
Uongo!

Churchill alitoka familia kubwa na elite, hivyo hawezi kuwa karani kama jinsi unavyofikiria karani!
Churchill kweli alikuwa elite family na alipita jeshi. Kwanza alikuwa critic wa sera za Waziri Mkuu Sir Neville Chamberlain kuhusu Ujerumani. Neville alipoachia ngazi akampendekeza Churchill ambaye alikuwa hardliner wa vita hivyo ni mtu sahihi kwa muda sahihi na pia ni kutoka elite family yenye rekodi wabunge hawatatumia muda mwingi kumpinga
 
CV ya Samia ni: 2021

CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2) 2021 -...... Jemadari mkuu wa majeshi yote Tanzania
Kuna wadau walisema kwamba hivi ni vyeo vya hisani (vya kurithi).

Tunataka ile CV yenyewe haswaa.
 
Mandela alikua Mwanasheria
 
Primary school jang'ombe
Secondary school wete pemba
Etc[emoji16][emoji16]
 
Elimu ya hapa na pale unamaanisha nini?
Magufuli ana
1. Diploma ya Ualimu( Chemistry &Mathematics)
2. Degree ya Ualimu/UDSM (Chemistry)
3. Masters/ Uzamili (Chemistry)
4. PH D(Chemistry).
Research: Arcardic Acid in rusting prevention
Magufuli PhD.

Samia hana Curriculum Vitae.
 
Shida ya wabongo ndo hii sasa, wewe umeombwa CV ya SAMIA badala ya kuileta umeanza kuleta porojo za Mugabe.

Kwahiyo kwa hoja yako unataka tuamini kwamba Samia hana kisomo ila anaweza kuongoza? Okay tumekubali, lakini tunataka CV yake kama ipo.
 
Shida ya wabongo ndo hii sasa, wewe umeombwa CV ya SAMIA badala ya kuileta umeanza kuleta porojo za Mugabe.

Kwahiyo kwa hoja yako unataka tuamini kwamba Samia hana kisomo ila anaweza kuongoza? Okay tumekubali, lakini tunataka CV yake kama ipo.
Uelewa wa hawa jamaa ni changamoto sana.

Wamezoea janja janja na ukanjanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…