Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama kuna mvuta bangi au chizi , wewe utakuwa umekubuhu.
Na si hivyo tu, unaonekana hata hujui maana ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi ni nini.

Unaweza kunieleza ni kitu gani kibaya zaidi alichofanya Mugabe, na ni kipi kizuri sana alichokifanya Abeid Karume hadi uwaweke kwenye makundi tofauti?
Unapokuwa huwezi kutumia akili yako mwenyewe kuchambua mambo, lakini unakimbilia kuimba nyimbo za kufundishwa kama kasuku, wewe unakuwa ni mtu au roboti?
 
Tanzania anastahiki kumpata rais anayekubalika na kuwafanyia kazi waTanzania, siyo mataifa ya huko unayoyatafuta wewe.
Samia hana uwezo. Hadi 2025 Tanzania itakuwa ni jalala la uchafu wa hao unaowaita watu wa nje wanaomkubali yeye.

Na zaidi ya yote, na pengine ndiyo chanzo cha ubovu wa uongozi wake, Samia hana maslahi ya nchi hii moyoni mwake.
 
Too late. Mngemkataa alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Au hamkufahamu maana yake?
Wewe unaposema haya ya kumkataa unajuwa wazi kwamba hakuna uwezo wa kumkataa yeyote chini ya CCM. Yeyote anayeletwa na CCM wananchi hawana utashi wowote wa kumkataa. Hivyo ndivyo nchi yetu ilivyofikia katika uharibifu.
 
Basi kama tunayafahamu haya na kuyakubali, why wasting time, resources, energy kulalamika hayo kwenye mitandao wakati we can't change anything?
 
Wewe unaposema haya ya kumkataa unajuwa wazi kwamba hakuna uwezo wa kumkataa yeyote chini ya CCM. Yeyote anayeletwa na CCM wananchi hawana utashi wowote wa kumkataa. Hivyo ndivyo nchi yetu ilivyofikia katika uharibifu.
Kalamu unaposema nanukuu "hakuna uwezo wa kumkataa yeyote chini ya CCM. Yeyote anayeletwa na CCM wananchi hawana utashi wowote wa kumkataa" mwisho wa kunukuu. Hayo maneno uliyoandika wewe yana maana gani tofauti na niliyosema mimi? Kwamba kama hatuna utashi na hayo , kwamba either tunayataka au hatuyataki hatuna uwezo wa kuyabadili, kwa nini tupoteze time, resources na energy kuyapigia kelele kwenye mitandao?
 
Wewe unaposema haya ya kumkataa unajuwa wazi kwamba hakuna uwezo wa kumkataa yeyote chini ya CCM. Yeyote anayeletwa na CCM wananchi hawana utashi wowote wa kumkataa. Hivyo ndivyo nchi yetu ilivyofikia katika uharibifu.
Kwa lugha rahisi unapokuwa huna uwezo wa "kumkataa" mteuliwa kutoka CCM kwa maana nyingine ni kuwa "umemkubali"
 
"ARCARDIC ACID IN PREVENTING RUSTING"
Ndio research ya Ph. D ya Magu
 
Ni kazi iliyolingana na uwezo wake wa kisomo, siyo urais.

Kwani wasomi wametufikisha wapi baada ya miaka 60 ya uhuru? Mbona bado tunaishi kwa misaada na watu wengi wana hali mbaya sana kiuchumi?
 
Kwani wasomi wametufikisha wapi baada ya miaka 60 ya uhuru? Mbona bado tunaishi kwa misaada na watu wengi wana hali mbaya sana kiuchumi?
Wewe unataka turudi pale tulipoanzia mwaka 1961?
Huyu unayemwimbia hakika hata tuliyokwishafanikiwa yatazidi kupotea! Haonyeshi matumaini kabisa ya kuwa na uwezo wa kulisukuma mbele taifa hili.

Tusipokuwa waangalifu, mbegu ya vurugu na mifarakano kati yetu ndiyo itakayokuwa jambo la kawaida. nchini kwani anajenga matabaka.
 
Nataka tuingie karne ya 21 lakini bado tunaishi maisha waliyoishi wenzetu karne ya 18. Sasa hao wasomi wana faida gani?
 
Ame hack sio? [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…