Kama kuna mvuta bangi au chizi , wewe utakuwa umekubuhu.Hebu acha kutuletea Bhangi hapa, Hao viongozi wenye visomo wameifikisha wapi africa tangu 1960! Ni bora mara 100 ya Abeid Aman Karume darasa la saba, kuliko PHD ya Mugabe au Bokkasa na wengine wengi mno! Kisomo ni takataka tu mbele ya utawala! Utawala ni hekima.. Ndo maana tuna historia ya kiongozi Bora Suleiman ambae silaha yake ilikuwa ni hekima sio kisomo.
Na si hivyo tu, unaonekana hata hujui maana ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi ni nini.
Unaweza kunieleza ni kitu gani kibaya zaidi alichofanya Mugabe, na ni kipi kizuri sana alichokifanya Abeid Karume hadi uwaweke kwenye makundi tofauti?
Unapokuwa huwezi kutumia akili yako mwenyewe kuchambua mambo, lakini unakimbilia kuimba nyimbo za kufundishwa kama kasuku, wewe unakuwa ni mtu au roboti?