Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Babu yetu anaitwa mwalimu Suluhu....anajulikana na kila mmakunduchi.....ukija kwenye sherehe zetu za jadi za kila mwaka huitwa mwakakogwa in shaa Allah nitakwenda kukuonesha maswahiba zake akina mzee Jaje ,Pole,mzee Fikiri ,mzee Aba Ayubu na wengineo...

#SiempreJMT[emoji120]
Kapicha kake mkuu itapendeza kama ukiweka na ya familia pia,
 
Kapicha kake mkuu itapendeza kama ukiweka na ya familia pia,
Wahadimu asilia hawapendi sana kufunguka ya ndani mkuu....makomredi wa kihadimu hawakupenda sana picha....lakini usikonde in shaa Allah utawekewa alipokuwa akifundisha shuleni huko Pemba na kwingineko....
 
Mkuu Kiranga , nimeisoma post yako nikaguswa na kujisikia shame on Tanzanian media!. Look at the good work BBC wamefanya!. Samia ni rais wetu, sisi local media zetu tupo, kumjua rais wetu ni mpaka media itoke all the way from London!. Shame!, shame!, shame! all Tanzania local media, Pascal Mayalla inclusive!.
Halafu tukiambiwa local media ya Tanzania ni ovyo, tunajifanya kukasirika kuwa tunaonewa!.
P
"Hili nalo mkalitazame..." 🙂 🙂 🙂
 
Haswaaa......waziri wa muungano.....
Huyu hapa enzi zile

Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Unamaanisha nini kusema wajomba wa Oman?!!!

Wamakunduchi hawana uhusiano na waomani.... wamakunduchi ni wahadimu....wahadimu wametokea pwani ya bara.....

Ila Omani hata ndugu zako wanaweza kuwa wamekwenda kama ilivyo kwa kaka zako akina Tuntufye wa Chicago....
Wamakunduchi unawajua wewe , samia alipokuwa ziarani Oman Tulitangaziwa kwamba alienda mitaani kusalimia Wajomba zake , hiyo ilikuwa taarifa ya Ikulu , unataka kubisha na hili ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Baba anayemjua ni Mama.
Mama mtu hawezi mjua baba wa mtoto iwapo ana mabwana wawili.

Here is the gynecological rundown:

Mbegu dume inaishi siku tano ndani ya fallopian tubes za mwanamke. Mwanamke akitembea na mwanamme Jumatatu akaja tembea na mwingine Ijumaa, yani wanaume wawili ndani ya siku tano , tayari kapoteza hesabu kwa saab yule wa Monday bado anaita ndani kwa ndani mpaka Friday. Unajua umelala na nani lini lakini hujui yupi ndio kasababisha.

Na pia hujui umetaga (ovulate) lini hata ungehesabu kinyume nyume kutumia umri wa mimba. Daktari bingwa wa kina Mama anapokwambia una mimba ya miezi miwili hahesabu tokea siku ilipotungwa mimba, bali siku ulipoanza hedhi ya mwisho. Mwanamke anajua hedhi zake ( anaona damu) lakini hajui ametaga lini. Hedhi na kutaga na kulala ni vitu vitatu tofauti, vinavyotokea siku 7 mpaka 14 tofauti. Hakuna binadamu anaejua umri wake toka yai lake lipandwe na mbegu dume kwa sababu sayansi haiitambui siku ya pandikizi, hawaijui na hawataki kuijua wala kubahatisha. Tunajua umezaliwa lini lakini umri wako haujulikani. Kwa hiyo hata kwa kutumia umri wa mimba na tarehe alizotembea bado mama mtu hajui pandikizi lilipandikizwa na nani kwa saab hajui lilitokea lini. Hata ukiwa na mume mmoja na mlifanya mara moja tu bado hujui pandikizi lilitokea lini! Sembuse mabwana wawili watatu umefanya juzi umefanya leo.

Kwa hiyo Mama mtu haiyumkini kutomjua baba watoto. Sasa kama mama mtu anaweza asijue, hao kaka au dada mtu waliohojiwa BBC wanaanzia wapi kujua. WIKIPEDIA haijagusa chochote kuhusu wazazi, sijui kama kuna sababu maalum.
 
Mama hawezi mjua ibaba iwapo ana mabwana wawili.

Here is the gynaecological rundown:

Mbegu dume inaishi siku tano ndani ya fallopian tubes za mwanamke. Mwanamke akitembea na mwanamme Jumatatu akaja tembea na mwingine Ijumaa, yani wanaume wawili ndani ya siku tano , tayari kapoteza hesabu kwa saab yule wa Monday bado anaita ndani kwa ndani mpaka Friday. Unajua umelala na nani lini lakini hujui yupi ndio kasababisha.

Na pia hujui umetaga lini hata ungerudi kinyume nyume kutumia umri wa mimba. Daktari bingwa wa kina Mama anapokwambia una mimba ya miezi miwili hahesabu tokea siku ilipotungwa mimba, bali siku ulipanza hedhi ya mwisho. Mwanamke anajua hedhi zake ( anaona damu) lakini hajui ametaga lini. Hedhi na kutaga ni vitu viwili tofauti, vinavyotokea siku 7 mpaka 14 tofauti. Hakuna binadamu anaejua umri wake toka yai lake lipandwe na mbegu dume kwa sababu sayansi haiitambui siku ya pandikizi, na hawataki kubahatisha. Tunajua umezaliwa lini lakini Umri wako haujulikani. Kwa hiyo hata kwa kutumia umri wa mimba na tarehe alizotembea bado mama hajui pandikizi lilitokea lini na lilipandikizwa na nani.

Kwa hiyo Mama mtu haiyumkini kutomjua baba watoto. Sasa kama mama mtu anaweza asijue hao kaka na dada mtu waliohojiwa BBC ndio kabisa. WIKIPEDIA haijagusa chochote kuhusu wazazi, sijui kama kuna sababu maalum.
Wewe mdada Bu'yaka umekuwa lini mjinga kiasi hichi acha upumbafu wako jadili familia yako na mamako!
 
Wamakunduchi unawajua wewe , samia alipokuwa ziarani Oman Tulitangaziwa kwamba alienda mitaani kusalimia Wajomba zake , hiyo ilikuwa taarifa ya Ikulu , unataka kubisha na hili ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenda kwako ulaya kila wiki bado hakujakupa uzoefu wa maisha?!!!

Sikiliza....

Oman ni nchi ambayo ina wageni wengi tu....wazanzibari wamejaa tele huko....kuna mitaa ambayo kiswahili kinazungumzwa kama Magomeni.....

Usiwashangae hao wajomba....

Halafu RBC unaleta tu "mbango" [emoji1787]yaani unasema "wamakunduchi nawajua mimi"...kana kwamba mh.Rais Samia si Mmakunduchi....saalaaaleeee[emoji1787]
 
Mama hawezi mjua ibaba iwapo ana mabwana wawili.

Here is the gynaecological rundown:

Mbegu dume inaishi siku tano ndani ya fallopian tubes za mwanamke. Mwanamke akitembea na mwanamme Jumatatu akaja tembea na mwingine Ijumaa, yani wanaume wawili ndani ya siku tano , tayari kapoteza hesabu kwa saab yule wa Monday bado anaita ndani kwa ndani mpaka Friday. Unajua umelala na nani lini lakini hujui yupi ndio kasababisha.

Na pia hujui umetaga lini hata ungerudi kinyume nyume kutumia umri wa mimba. Daktari bingwa wa kina Mama anapokwambia una mimba ya miezi miwili hahesabu tokea siku ilipotungwa mimba, bali siku ulipanza hedhi ya mwisho. Mwanamke anajua hedhi zake ( anaona damu) lakini hajui ametaga lini. Hedhi na kutaga ni vitu viwili tofauti, vinavyotokea siku 7 mpaka 14 tofauti. Hakuna binadamu anaejua umri wake toka yai lake lipandwe na mbegu dume kwa sababu sayansi haiitambui siku ya pandikizi, na hawataki kubahatisha. Tunajua umezaliwa lini lakini Umri wako haujulikani. Kwa hiyo hata kwa kutumia umri wa mimba na tarehe alizotembea bado mama hajui pandikizi lilitokea lini na lilipandikizwa na nani.

Kwa hiyo Mama mtu haiyumkini kutomjua baba watoto. Sasa kama mama mtu anaweza asijue hao kaka na dada mtu waliohojiwa BBC ndio kabisa. WIKIPEDIA haijagusa chochote kuhusu wazazi, sijui kama kuna sababu maalum.
Hapa tunahitaji elimu ya baiyolojia.
  1. Life span ya ovum ni 24 hours, not a day more, not a day less!.
  2. Life span ya x- sperm ni 24 hours, not a day more, not a day less!.
  3. Life span ya y- sperm ni 72 hours, not a day more, not a day less!.
  4. x- sperm is ina speed and travels faster than y-:sperm ila x sperm is weaker than y,-sperm
  5. Ili mtoto wa kiume atungwe, lazima tendo lifanyike within 6 hours after ovulation.
  6. Mwanamke akifanywa 2 days before ovulation day, x sperms zote zinakufa within 24 hours, hivyo yai likishuka linaovushwa na y-sperm inatungwa ya mtoto wa kike.
  7. Mwanamke akilala na mwanaume huyu leo, na mwanaume huyu kesho, halafu akapata ovulation on the 3 day, y sperms za wanaume wote wawili zitakuwa hai, hivyo hawezi kujua for sure ni ujauzito wa yupi mpaka mtoto azaliwe!.
  8. Hivyo kuna mababa wengi tuu, tunalea watoto ambao sio wetu bila kujijua tukiaminishwa ni wetu!.
  9. Anayejua for surely who is baba halisi wa mtoto, ni mama!.
  10. Ndio maana wenzetu Waislamu, wanapozika marehemu wao, wanawazika na kwa jina la ubini wa Mama na sio baba kama Nabii Issa bin Maryam.
P.
 
Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.
Alishakuwa waziri Zanzibar. Baadaye akawa waziri Serikali ya Tanzania. Baadaye Makamo mwenyekiti Bunge la Katiba.
 
Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.

Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.

Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.

Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Wazazi wapo Oman 😄😄
 
Wewe mdada Bu'yaka umekuwa lini mjinga kiasi hichi acha upumbafu wako jadili familia yako na mamako!
Umeguswa pabaya ?

Nawezaje kuwa mpumbavu na bado nikajadili jambo mpaka likakugusa pabaya ? Nimeeleza sayansi ya gainakolojia, umeshindwa kuikosoa unasema pumbavu. Sayansi inajibiwa na sayansi sio matusi.

Ukiacha ombwe kwenye taarifa muhimu kama ubini na utambuzi wa raia namba moja raia wake lazima watawiwa kujaza ombwe hilo kwa mijadala na bashiri.

Ushauri wangu, mrudi ukurasa wa WIKIPEDIA mjaze taarifa za baiographia, ubini na historia ili muwe kwenye usukani wa simulizi. Kwa sasa raia ndio wana control the narrative kuhusu biografia ya raia namba moja.
 
Nchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?

Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
Wakulaumiwa ni Magufuli
 
Kibanga Ampiga Mkoloni
Brown Ashika Tama

*Batalokota Benyewe Kunyavu
 
Back
Top Bottom