Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Kapicha kake mkuu itapendeza kama ukiweka na ya familia pia,Babu yetu anaitwa mwalimu Suluhu....anajulikana na kila mmakunduchi.....ukija kwenye sherehe zetu za jadi za kila mwaka huitwa mwakakogwa in shaa Allah nitakwenda kukuonesha maswahiba zake akina mzee Jaje ,Pole,mzee Fikiri ,mzee Aba Ayubu na wengineo...
#SiempreJMT[emoji120]