Kapicha kake mkuu itapendeza kama ukiweka na ya familia pia,Babu yetu anaitwa mwalimu Suluhu....anajulikana na kila mmakunduchi.....ukija kwenye sherehe zetu za jadi za kila mwaka huitwa mwakakogwa in shaa Allah nitakwenda kukuonesha maswahiba zake akina mzee Jaje ,Pole,mzee Fikiri ,mzee Aba Ayubu na wengineo...
#SiempreJMT[emoji120]
Wahadimu asilia hawapendi sana kufunguka ya ndani mkuu....makomredi wa kihadimu hawakupenda sana picha....lakini usikonde in shaa Allah utawekewa alipokuwa akifundisha shuleni huko Pemba na kwingineko....Kapicha kake mkuu itapendeza kama ukiweka na ya familia pia,
"Hili nalo mkalitazame..." 🙂 🙂 🙂Mkuu Kiranga , nimeisoma post yako nikaguswa na kujisikia shame on Tanzanian media!. Look at the good work BBC wamefanya!. Samia ni rais wetu, sisi local media zetu tupo, kumjua rais wetu ni mpaka media itoke all the way from London!. Shame!, shame!, shame! all Tanzania local media, Pascal Mayalla inclusive!.
Halafu tukiambiwa local media ya Tanzania ni ovyo, tunajifanya kukasirika kuwa tunaonewa!.
P
Huyu hapa enzi zileHaswaaa......waziri wa muungano.....
Wamakunduchi unawajua wewe , samia alipokuwa ziarani Oman Tulitangaziwa kwamba alienda mitaani kusalimia Wajomba zake , hiyo ilikuwa taarifa ya Ikulu , unataka kubisha na hili ?Unamaanisha nini kusema wajomba wa Oman?!!!
Wamakunduchi hawana uhusiano na waomani.... wamakunduchi ni wahadimu....wahadimu wametokea pwani ya bara.....
Ila Omani hata ndugu zako wanaweza kuwa wamekwenda kama ilivyo kwa kaka zako akina Tuntufye wa Chicago....
Joined Aprill 2023 , bado sanaMoto upi! Kwani kosa ni lipi kumbafu wewe! Usituletee ujinga wako wa kipumbafu kwani una shida gani wewe hata kama ni ndugu kweli, Je hawana haki! Next ficha ulimbukeni wako!
Mama mtu hawezi mjua baba wa mtoto iwapo ana mabwana wawili.Baba anayemjua ni Mama.
Wewe mdada Bu'yaka umekuwa lini mjinga kiasi hichi acha upumbafu wako jadili familia yako na mamako!Mama hawezi mjua ibaba iwapo ana mabwana wawili.
Here is the gynaecological rundown:
Mbegu dume inaishi siku tano ndani ya fallopian tubes za mwanamke. Mwanamke akitembea na mwanamme Jumatatu akaja tembea na mwingine Ijumaa, yani wanaume wawili ndani ya siku tano , tayari kapoteza hesabu kwa saab yule wa Monday bado anaita ndani kwa ndani mpaka Friday. Unajua umelala na nani lini lakini hujui yupi ndio kasababisha.
Na pia hujui umetaga lini hata ungerudi kinyume nyume kutumia umri wa mimba. Daktari bingwa wa kina Mama anapokwambia una mimba ya miezi miwili hahesabu tokea siku ilipotungwa mimba, bali siku ulipanza hedhi ya mwisho. Mwanamke anajua hedhi zake ( anaona damu) lakini hajui ametaga lini. Hedhi na kutaga ni vitu viwili tofauti, vinavyotokea siku 7 mpaka 14 tofauti. Hakuna binadamu anaejua umri wake toka yai lake lipandwe na mbegu dume kwa sababu sayansi haiitambui siku ya pandikizi, na hawataki kubahatisha. Tunajua umezaliwa lini lakini Umri wako haujulikani. Kwa hiyo hata kwa kutumia umri wa mimba na tarehe alizotembea bado mama hajui pandikizi lilitokea lini na lilipandikizwa na nani.
Kwa hiyo Mama mtu haiyumkini kutomjua baba watoto. Sasa kama mama mtu anaweza asijue hao kaka na dada mtu waliohojiwa BBC ndio kabisa. WIKIPEDIA haijagusa chochote kuhusu wazazi, sijui kama kuna sababu maalum.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenda kwako ulaya kila wiki bado hakujakupa uzoefu wa maisha?!!!Wamakunduchi unawajua wewe , samia alipokuwa ziarani Oman Tulitangaziwa kwamba alienda mitaani kusalimia Wajomba zake , hiyo ilikuwa taarifa ya Ikulu , unataka kubisha na hili ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mh.Rais SSH ni mwanademokrasia haswaaaa[emoji2956]
True said mamake!Mh.Rais SSH ni mwanademokrasia haswaaaa[emoji2956]
Tumebarikiwa kuwa na Rais aina yake....
Mh.bowe analijua hilo....
Mh.TL analijua hilo...
GL analijua hilo.....
Siempre SSH amen[emoji120]
Hapa tunahitaji elimu ya baiyolojia.Mama hawezi mjua ibaba iwapo ana mabwana wawili.
Here is the gynaecological rundown:
Mbegu dume inaishi siku tano ndani ya fallopian tubes za mwanamke. Mwanamke akitembea na mwanamme Jumatatu akaja tembea na mwingine Ijumaa, yani wanaume wawili ndani ya siku tano , tayari kapoteza hesabu kwa saab yule wa Monday bado anaita ndani kwa ndani mpaka Friday. Unajua umelala na nani lini lakini hujui yupi ndio kasababisha.
Na pia hujui umetaga lini hata ungerudi kinyume nyume kutumia umri wa mimba. Daktari bingwa wa kina Mama anapokwambia una mimba ya miezi miwili hahesabu tokea siku ilipotungwa mimba, bali siku ulipanza hedhi ya mwisho. Mwanamke anajua hedhi zake ( anaona damu) lakini hajui ametaga lini. Hedhi na kutaga ni vitu viwili tofauti, vinavyotokea siku 7 mpaka 14 tofauti. Hakuna binadamu anaejua umri wake toka yai lake lipandwe na mbegu dume kwa sababu sayansi haiitambui siku ya pandikizi, na hawataki kubahatisha. Tunajua umezaliwa lini lakini Umri wako haujulikani. Kwa hiyo hata kwa kutumia umri wa mimba na tarehe alizotembea bado mama hajui pandikizi lilitokea lini na lilipandikizwa na nani.
Kwa hiyo Mama mtu haiyumkini kutomjua baba watoto. Sasa kama mama mtu anaweza asijue hao kaka na dada mtu waliohojiwa BBC ndio kabisa. WIKIPEDIA haijagusa chochote kuhusu wazazi, sijui kama kuna sababu maalum.
Alishakuwa waziri Zanzibar. Baadaye akawa waziri Serikali ya Tanzania. Baadaye Makamo mwenyekiti Bunge la Katiba.Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.
Wazazi wapo Oman 😄😄Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.
Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.
Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.
Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Umeguswa pabaya ?Wewe mdada Bu'yaka umekuwa lini mjinga kiasi hichi acha upumbafu wako jadili familia yako na mamako!
Wakulaumiwa ni MagufuliNchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?
Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
MwinyiTaja jina la Baba Samia?