Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Mimeona kuwa mwaka 1986 alimaliza mzumbe na advanced uongozi wa umma. Mwaka 1992 hadi 1994 alisoma postgraduate diploma ya uchumi chuo kikuu cha manchester.

Mwaka 2015 alipata Msc in community economic development kutoka chuo kikuu huria na chuo kikuu cha Southern new hampshire.
Kwa nin hii master ya community economy asiitumie vyema ...unajua kulishana michicha na ugali kisa mandege na SGR inakera sana
 
🤫 shhhhh

Nami niliona nikaguna tu.

Nikajisemea ngoja msiba uishe kwanza.

..nimeitafuta hiyo shahada sijaipata.

..pia kuna mtu aliwahi kuniambia Marekani masters huwa ni miaka miwili.

..sasa Mama Samia yeye kapiga kwa mwaka mmoja na ni online program.

cc Richard
 
Wajameni mnijuze Huyu mama Samiha Hassan Sululu ana Mume ? Na kama ana Mume mbona hajawahi kumtambulisha?Wote siku ile ya mpambano wa top 3 three tuliona Asha Rose baadaye akimtambulisha mme wake pro Migiro, Samiha mm!Kama amekufa tujue, kama mageti yako wazi tuwahi kumwoa vice president pia sifa, au ndo tunataka kumpeleka msimbe Ikulu.Jamani Msimbe siyo tusi ni mwanamke asiyeolewa bado, wale jamaa wa shgeria ya mtandao wasije wakapata pa kuanzia n
Aliachana na mume wake muda mrefu tu.ila huyo mume nae analindwa kama kumpa heshima muheshimiwa. Walizaa watoto 4. Mtoto wake 1 amemuoa mtu ambae namfahamu
 
Aliachana na mume wake muda mrefu tu.ila huyo mume nae analindwa kama kumpa heshima muheshimiwa. Walizaa watoto 4. Mtoto wake 1 amemuoa mtu ambae namfahamu
Yanakuhusu! Kazi kusema ya wenzenu. Mbona wewe umeachika mara mbili hatusemi!
 
..sijui kwanini nina mashaka na shahada ya masters ya mama samia.

Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

cc Nyani Ngabu, Richard
Njia alopita huyu mama ni sawa na njia alopita JPM RIP pale Salford kupitia UDSM.

Walijiendeleza na si wao tu wazee wetu wengi walifanya hivyo miaka ile wakisoma huku wakiwa kazini khasa ngazi ya masters.
 
Njia alopita huyu mama ni sawa na njia alopita JPM RIP pale Salford kupitia UDSM.

Walijiendeleza na si wao tu wazee wetui wengi walifanya hivyo miaka ile wakisoma huku wakiwa kazini khasa ngazi ya masters.

..hii ni sawa njia alopita Mary Nagu kwenye PhD yake?
 
Kwa hiyo mzanzibar kachukua JAMHURI[emoji16][emoji16][emoji16].
hongereni wazenji.
 
Njia aliyopita mama kwenye elimu ina Zigzag nyingi sana yaani trailer linaanzia katika elimu ya msingi
 
Kusema ukweli hapa tumepigwa

The next 5 year

1. No innovative projects

2. No visionary projects

Atakacho fanya ni mambo ya kawaida sana kama kulipa mishahara na kufungulia wafungwa.

Mama ataingoza taifa kwa story za kawaida sana, jiulize kama umewahi kusikia samia akiongea any critical issue?


Kumbuka Magufuli alitafuta makamu dhaifu ili aonekane yeye tuu..

Nadhani 2025 itabidi mchakato mpya ufanyike.
..sijui kwanini nina mashaka na shahada ya masters ya mama samia.

Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

cc Nyani Ngabu, Richard
 
Kusema ukweli hapa tumepigwa

The next 5 year

1. No innovative projects

2. No visionary projects

Atakacho fanya ni mambo ya kawaida sana kama kulipa mishahara na kufungulia wafungwa.

Mama ataingoza taifa kwa story za kawaida sana, jiulize kama umewahi kusikia samia akiongea any critical issue?


Kumbuka Magufuli alitafuta makamu dhaifu ili aonekane yeye tuu..

Nadhani 2025 itabidi mchakato mpya ufanyike.

..kazi kubwa anayotakiwa kufanya Mama Samia ni kuondosha UKATILI uliotuvamia tangu mwaka 2015.

..kuna watu wameota MAPEMBE nchi hii na kujiona kama MUNGU-WATU hao ndio wanaotakiwa kushughulikiwa haraka sana.
 
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).

Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.

Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.

Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.

Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.

''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''

Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''

''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.

Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960

EDUCATION
  • School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
  • Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
  • Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
  • Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
  • Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
  • Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
  • National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
  • Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
  • Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
  • Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
  • Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
  • Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
  • Company Name Position From To
  • The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
  • Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
  • Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
  • Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
  • Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
  • World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
  • Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986

POLITICAL EXPERIENCE
  • Ministry/Political Party/Location Position From To
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
  • Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Kwa hiyo aliolewa akiwa na miaka 18...
 
..sijui kwanini nina mashaka na shahada ya masters ya mama samia.

Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree

cc Nyani Ngabu, Richard
Hiyo Masters haina mawaa kabisa. Ni joint program kati ya University of New Hampshire na Open University of Tanzania ilikuwa ikitolewa miaka hiyo ya 2005-2007 (Sijui kwa sasa kama bado inatolewa kwa utaratibu huo). Ni wengi tu walisoma na kumaliza Masters program hiyo hata mkigoogle mnaweza kupata baadhi ya thesis/papers za wahitimu wa program hiyo. Hivyo ukiitafuta kwa program za New Hampshire peke yake huenda usiione.
 
Back
Top Bottom