Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kuna mzee mmoja kwenye uzinduzi wa Ikulu mpya juzi Dodoma, alipewa kiti akae wakati viongozi wote walikua wamesimama pale nje wakiwa wanasubiri kumpokea Samia akague gwaride. Jina lake limenitoka yule mzee.
 
Ngoja nikagugo historia ya mama yetu, nisipopata jina la babu yetu naweka la kwangu
 
Kuna mzee mmoja kwenye uzinduzi wa Ikulu mpya juzi Dodoma, alipewa kiti akae wakati viongozi wote walikua wamesimama pale nje wakiwa wanasubiri kumpokea Samia akague gwaride. Jina lake limenitoka yule mzee.
Bila shaka atakuwa ndo baba yake
 
Nchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?

Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
Tunaonyeshwa Wajomba tu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Baba yake ni marehemu Mzee Suluhu Hassan.

Kaka yake ni Rashid Suluhu Hassan.

Dada yake ni Mgeni Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa makala hii ya BBC.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ukishinda lottery usijitowe kwenye tv utasababisha ndugu,majirani na marafiki kukuomba.

Au unaweza kusababisha maisha yako kuwa hatarini kwa majambazi.

Kuna watu wana pendelea maisha yao yasijulikane.
Mkuu na wale wanaoshinda kiasi kikubwa na makampuni yanawalazimisha kukaa kwenye tv vipi
 
Back
Top Bottom