bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
mbona kila siku huwa linatajwa, au ulidhania ni majina ya nani yale mengine?Jina la baba Suluhu Hassan
Huwa anatamkwa mama Samia Suluhu Hassan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kila siku huwa linatajwa, au ulidhania ni majina ya nani yale mengine?Jina la baba Suluhu Hassan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Kijana Unatafuta nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Bila shaka atakuwa ndo baba yakeKuna mzee mmoja kwenye uzinduzi wa Ikulu mpya juzi Dodoma, alipewa kiti akae wakati viongozi wote walikua wamesimama pale nje wakiwa wanasubiri kumpokea Samia akague gwaride. Jina lake limenitoka yule mzee.
Tunaonyeshwa Wajomba tuNchi imefika mahali, tunaweza kuwekewa pandikizi toka popote na akawa ndiye kiongozi wanchi.
Kama hali hiyo siyo ya kutisha, tuiite ni hali ya namna gani hiyo?
Sijasema popote kuwa aliyepo sasa ni pandikizi, lakini inawezekana, kwa sababu hatujui alitokea wapi hadi akafika alipo sasa.
Mleta mada ana hoja asishambuliweJiulize kwanza kwa nini watoto wako wanafanana na jirani yako?. Au wewe mwenyewe kwa nini unafanana na jirani?
Dah.. eti kama sijakosea.Rais wetu anaitwa Samia Suluhu Hassan kama sijakosea.
Jina hilo linakupa jibu.
Kumbe linafanana na la Mzee Mwinyi.Jina la baba Suluhu Hassan
HakikaHivi humu si ndio kila siku tunaambiwa ukikubali kuwa kiongozi ujuwe wewe u.ekuwa Public property hivi sio kujua wazazi wako tuu, bali hata maisha yako yote yalikuwaje toka utoto...
Taratibu ndugu mdomo unaponzaga kichwa 🤣Hassan Suluhu au Ruksa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Baba yake ni marehemu Mzee Suluhu Hassan.
Kaka yake ni Rashid Suluhu Hassan.
Dada yake ni Mgeni Suluhu Hassan.
Kwa mujibu wa makala hii ya BBC.
![]()
'Rais Samia alipenda kusoma, baba yetu alimhimiza afaulu’. Familia yake yaeleza - BBC News Swahili
Akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Watanzania wamekuwa na hisia na mitazamo mbalimbali juu yake. Lakini familia yake na watu wake wa karibu wanamfahamu vizuriwww.bbc.com
inawezekana, naskia anakaribia kuwa na miaka 100Bila shaka atakuwa ndo baba yake
Mkuu na wale wanaoshinda kiasi kikubwa na makampuni yanawalazimisha kukaa kwenye tv vipiUkishinda lottery usijitowe kwenye tv utasababisha ndugu,majirani na marafiki kukuomba.
Au unaweza kusababisha maisha yako kuwa hatarini kwa majambazi.
Kuna watu wana pendelea maisha yao yasijulikane.