Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.
Usisahau.amekua hadi kwenye baraza la mawaziri la kikwete!!
 
Kwani huyu Waziri wa Maliasili na utalii alimkabidhi nani mahari ya mkewe?
 
Baba anayemjua ni Mama.
Not always!

Kuna mazingira hata mama anakuwa hajui!

Say mama had sex with 3 men in a span of one week. Unprotected sex.

One of the dudes that she smashed can’t get a woman pregnant.

The other two men, can.

And she ends up getting preggo.

In that case, who’s the daddy?
 
Ghafla nmemkumbuka teacher wanjiku wa Churchill show akisema ',alama ya kudukudu' [emoji23][emoji23]
 
Inabidi historia ya Viongozi wetu wazi tuijue, sio vizuri watu kuanza kunon'gona issue ya baba yake Rais.
 
Ingependeza mngewasiliana na ofisi ya mawasiano Ikulu, hapa JF mnaweza kupotoshwa bure.
Hao unaowataja ndio watakaopotosha zaidi.
Hali ilivyo sasa hivi ni bora kuitegemea JF kuliko hao.

Hali yetu ilivyo kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba mtu kama Kagame, au Nchi ya Kenya wanaweza kum'sponsor' mtu wanayemtaka wenyewe na kumwezesha kuwa kiongozi wa nchi yetu.
Hii ni hali mbovu kabisa kuwa nayo.
 
Not always!

Kuna mazingira hata mama anakuwa hajui!

Say mama had sex with 3 men in a span of one week. Unprotected sex.

One of the dudes that she smashed can’t get a woman pregnant.

The other two men, can.

And she ends up getting preggo.

In that case, who’s the daddy?
Damn son.

I get you.

Nilikiwa naongelea ceteris paribus, under STP.
 
Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.

Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.

Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.

Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Babu yetu anaitwa Mzee Suluhu....mwalimu Suluhu....uko bwashee?!!!
 
Kaka yake ni rais wa Zanzibar
Babu yetu anaitwa mwalimu Suluhu....anajulikana na kila mmakunduchi.....ukija kwenye sherehe zetu za jadi za kila mwaka huitwa mwakakogwa in shaa Allah nitakwenda kukuonesha maswahiba zake akina mzee Jaje ,Pole,mzee Fikiri ,mzee Aba Ayubu na wengineo...

#SiempreJMT[emoji120]
 
Haya mambo haya yakiendelea kufichwa fichwa iko siku moto utalipuka

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kuficha nini ?!!!

Kila mzee wa kizimkazi na makunduchi anamfahamu mwalimu Suluhu....ni maarufu mno.....njoo kwenye sherehe za kuoga mwaka (mwakakogwa) ukutanishwe na maswahiba zake kina Mzee Ameir Kidinga ,Abal Qassim Uhunzi ,Mzee Pema Abdallah ,Mzee Ali Nongwe na wengineo.....
 
Kuficha nini ?!!!

Kila mzee wa kizimkazi na makunduchi anamfahamu mwalimu Suluhu....ni maarufu mno.....njoo kwenye sherehe za kuoga mwaka (mwakakogwa) ukutanishwe na maswahiba zake kina Mzee Ameir Kidinga ,Abal Qassim Uhunzi ,Mzee Pema Abdallah ,Mzee Ali Nongwe na wengineo.....
Wekeni wazi basi , mbona wajomba tulionyeshwa ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wahadimu....wabantu asili wa Makunduchi....hawapendi mbwembwe....wabantu hawa wametokea pwani ya bara wala hawana makuu...mbona yako wazi...njooni katika shughuli za jadi Mwaka Kogwa muoneshwe maswahiba zake mwalimu Suluhu....
 
Ndio maana tunaongozwa hata na warundi.....historia ya Raisi sio siri
Evelyn Salt ! Ndio maana hata wewe dume zima umeamua kutumia jila la mwanamke mahiri mwigizaji wa 🇺🇸! Yaani hicho ndio kipimo halisa cha upumbafu ulionao
 
Back
Top Bottom