Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Aliyepewa Gari Mpya aina ya Benz iliyo chini sana miaka kadhaa iliyopita ili asipate shida Kuipanda kutokana na sasa kuwa ni Mzee mno huku akikosa hata Kumbukumbu za Kuwajua Wanawe baadhi wenye Vyeo kama alivyokuwa navyo Yeye kati ya mwaka 1985 hadi 1995.
Unamaanisha wanatawala kaka na Dada
 
Wewe mdada Bu'yaka umekuwa lini mjinga kiasi hichi acha upumbafu wako jadili familia yako na mamako!
Ndugu inaonekana umevurugika kweli kweli unahisi utaondolewa kwenye CHEO ulichozawadiwa...usiwaze Nchi hii chini ya ccm kila kitu kinawezekana kwahiyo kula ugali wako kwa Amani maana hata kama nikweli mnatawala
kaka na Dada hakuna kitu kitabadilika hapa watu wanajadili tu kwahiyo simbaya ukatoa ushahidi wa unachokijua sio kutukanana
 
Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.

Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.

Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.

Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Ikiwa afya ya Rais ni top prioritized secret, ndo utajiwe jina la baba yake?

Unataka kumroga🤣?
 
Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.
Wewe inaonekana bado ni mtoto mdogo sana!!! Samia kafahamika mwaka 2015!!!!! Tafuta nyadhifa mbalimbali alizowahi kushika kabla huko Zanzibar na kwenye URT kabla hujaandika huu utumbo!!!
 
Evelyn Salt ! Ndio maana hata wewe dume zima umeamua kutumia jila la mwanamke mahiri mwigizaji wa [emoji631]! Yaani hicho ndio kipimo halisa cha upumbafu ulionao
Evelyn Salt ni mwanamke mahiri muigizaji!!??
Nilicho na uhakika nacho ni kwamba huyo ni muhusika mkuu kwenye filamu ya "SALT".
 
Mkuu Kiranga , nimeisoma post yako nikaguswa na kujisikia shame on Tanzanian media!. Look at the good work BBC wamefanya!. Samia ni rais wetu, sisi local media zetu tupo, kumjua rais wetu ni mpaka media itoke all the way from London!. Shame!, shame!, shame! all Tanzania local media, Pascal Mayalla inclusive!.
Halafu tukiambiwa local media ya Tanzania ni ovyo, tunajifanya kukasirika kuwa tunaonewa!.
P
Tanzania hakuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari zaidi ya Jamii Forum.
 
Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.

Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.

Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.

Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Kuna kitu unakitafuta basi utakipata.
 
Back
Top Bottom