dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Unamaanisha wanatawala kaka na DadaAliyepewa Gari Mpya aina ya Benz iliyo chini sana miaka kadhaa iliyopita ili asipate shida Kuipanda kutokana na sasa kuwa ni Mzee mno huku akikosa hata Kumbukumbu za Kuwajua Wanawe baadhi wenye Vyeo kama alivyokuwa navyo Yeye kati ya mwaka 1985 hadi 1995.