Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

ujinga ni tatizo kubwa sana nchini kwetu..!
 
ujinga ni tatizo kubwa sana nchini kwetu..!
Sana. Majitu yanajifanya kukataa msaada wa mchele huku yakikubali kupokea misaada ya fedha, scholarships, dawa na vitu vingine. Kama ina jeuri ya kutosha, basi ikatae kila kitu. Pambaf!
 
Zawadi ni zawadi (kumbuka wimbo wa Twanga Pepeta). Usijitoe ufahamu. Ukiletewa zawadi hata iwe ndogo, usiibeze. Kuwa na utu na kujitambua.
 
Sana. Majitu yanajifanya kukataa msaada wa mchele huku yakikubali kupokea misaada ya fedha, scholarships, dawa na vitu vingine. Kama ina jeuri ya kutosha, basi ikatae kila kitu. Pambaf!
hao wenzetu wameleta huo mchele sababu ya data zetu utapia mlo ni mkubwa maana yake hatuli chakula cha kutosha au chakula chenye virutubisho vya kutosha!
 
Zawadi ni zawadi (kumbuka wimbo w Twanga Pepeta). Usijitoe ufahamu. Ukiletewa zawadi hata iwe ndogo, usiibeze. Kuwa na utu na kujitambua.
Hivi kuna tofauti kati ya zawadi na msaada ? Kama ipo soma tena ulichoandika
 
Kama ilivyo aibu kuletewa vyakula, hata hayo magari, ndege iwe aibu kuomba na kupewa kama msaada huku tuna kila rasilimali ya kununua hivyo.
Kuomba chochote ni aibu kubwa sanaaa
 
Hata ukasirike nitaendelea kupinga ushoga, yani unanikasikia kisa napinga ushoga?
 
Mr OKW BOBAN SUNZU, you have to see this comment.

Binafsi niliona uzito kukujibu maana nachukia mijadala ya dini kwa sababu inajaa emotions badala ya logic. Na mbaya zaidi mtu anaamua kuchagua upande Fulani na kupotosha upande wa pili kwa makusudi ili mradi kutimiza haja ya moyo wake. Mijadala ya kidini ni kama ushabiki wa Simba na yanga,once you are Simba,hutakiwi kukubali chochote cha yanga hata kiwe kizuri na kinyume chake ndiyo hivyo hivyo.

Asante mkuu Bams kwa huu ujumbe,usichoke kutoa elimu kuhusu hii mijadala ya ushoga hasa inapohusishwa na dini ya kikristo(hasa ukatoliki).

Wewe ni Moja kati ya wakatoliki Bora humu ndani.
 
Hata kama unaweza kuwa umeandika vizuri , je wizara ya Elim hawajui? Kama wanajua kwanini isipangwe bajet kutoka kwenye tozo nakupeleka vyakula mashuleni mpaka subili letewa mchele wa virutubisho toka Ulaya?

Kwamba sasa mpaka NGO kwa kushirikiana na mataifa ya nje ndo waje na vyakula vya kusaidia wanafunzi ,serikali , wizara husika kazi yake nini?

Ipo misaada ya kupewa ila sio mchele, maharage au aina nyingine ya nafaka
 
Hawa huwa ni wapuuzi wapuuzi tu
Hawana jeuri ya kukataa ubwabwa hao
Nawashangaa sana. Hawa jamaa ni wabaguzi hatari. Mbona hawakatai misaada ya nyama ya ngamia kutoka uarabuni? Mbona magaidi ya DP World yaliwapa misaada hawakuIkataa?

Wanakataa mchele kwa kuwa umetolewa na wagalatia kutoka Marekani. Wapuuzi na wabaguzi wakubwa!
 
Hivi kweli unadhani Ataweza kuyajibu maswali yako? Ingekuwa ni mtihani hapo utarajie div.o
 
Mpuuzi kweli wewe maneno mengi alafu pumba tupu nani asiejua Papa Francis anaunga mkono ushoga? anavaa hadi msalaba wa rainbow au ulikua kaburini umefufuka leo?
Mkuu nilitaka nipite kimya kimya baada ya kusoma comment yako,coz sipendagi kujadiliana mambo ya dini.

Ila uliopoleta hoja ya msalaba wa papa kwenye quote ya Bams ,ndiyo nimeamua kukujibu maana umemjibu kwa dharau na kejeli badala ya kutaka kuelimishwa kuhusu msalaba wa papa na zile rangi.

Kwa kukusaidia ingia google mwenyewe ukajifunze kuhusu zile rangi maana humu ndani zimejadiliwa sana. Kiufupi hazina uhusiano na rangi za ushoga 🌈. Ziko tofauti sana na zinaelezea maana yake.

Tuache kukashifiana kuhusu dini wakuu.
 
Project za kulisha watoto mashuleni zipo Tangu enzi za Magufuri, Jk na Samia, acha ujinga
 
Una ujuaji mwingi wa kipuuzi.
Kipindi chake aliwezaje kutatua tatizo la umeme bila hilo bwawa??
Kipindi hiki na chake ni kipi umeme ulikua na ufanisi??
Unaongea hisia zako ambazo ni baseless nonfactual.
Pole sana
Ata Sasa hivi mbona Kuna tatizo la umeme? We acha kumshabikia yule shetwain. Hana maana yoyote yule. Kalazimisha mitambo iendelee mpaka imechoka, angekuwepo nchi ingekuwa gizani, na ukiongea unatekwa. Afie zake huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…