Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

We yatima lissu anakuwasha sana.
 
Ubaguzi uko wapi hapo, kusema hawataki mchele huo ndio wewe unaita ubaguzi?
Wewe huo ubaguzi huuoni? Wanabagua mchele kutoka Marekani lakini wanakubali nyama ya ngamia kutoka uarabuni.
 
Yote ya yote adhabu ya kumtukana mtu haizidi kifungo cha miezi sita faini labda laki mbili au tatu
Kwa hali tuliyonayo kifedha/kiuchumi, kulipa laki mbili au tatu kimasihara ni nyingi mkuu.
Kifungo cha miezi sita ukijumlisha na gharama binafsi i.e. muda wako na nauli+usumbufu wa kuhudhuria kesi mahakamani ikiwemo kukaa rumande kidogo ni ghali sana mkuu. Kwa nini ujitakie hayo? Kumbuka wahenga walisema "Mdomo uliiponza shingo"
Ni hayo tu.
 
Hapana atashtakiwa na atahukumiwa kulingana na sheria ambayo inafanya kazi sawa kwa kila mtanzania bila kuangalia pesa alizonazo au cheo au ukubwa
Lakini mkuu si unaujua mchakato wa kuanzisha na kuendesha mashtaka ulivyo? i.e Unaanza na Polisi (halafu unawajua polisi wetu hawa ukizingatia tangu wakukamate hadi uambiwe una Shitaka la kujibu mahakamani ni mtindo wa nenda rudi-nenda rudi..) then Kesi ifunguliwe na kusikilizwa mahakamani (ukizingatia itapigwa tarehe...... na unaweza ukanyimwa dhamana 😁 ) Utachoka sana aisee licha ya kuambiwa eti Sheria itachukua mkondo wake. Ndo mana wengi hujitahidi kuepuka mambo ya mahakamani.
 
Ndomana tunajadili hapa mana hakuna asiyejua mfumo wa mahakama na police wetu hawa hivyo mijadala kama hii itasaidia kuibua chachu ya kufanya marekebisho kwenye vyombo vyetu vya sheria
 
Huu mchele kwanza tujue ni nani ameuagiza maana hata waziri wa kilimo bashe haelewi. Binafsi nina shaka na huyu macho kumchuzi aliyeteuliwa majuzi ccm. Alikutana na balozi wa marekani makao makuu na wanaccm wanamapinduzi wakashtuka sana marekani wanafuata nini ccm.
 
Mbona mchele uliokuja awamu ya kwanza na ya pili umeliwa bila shida? Huu wa awamu ya tatu una shida gani wakati TBS wameupitisha uliwe?
 
Mbona mchele uliokuja awamu ya kwanza na ya pili umeliwa bila shida? Huu wa awamu ya tatu una shida gani wakati TBS wameupitisha uliwe?
Kama kuna michele ilishaletwa toka marekani msaada uliyowekwa virutubisho itakua imeletwa kinyemela. Watu hawakujua.
 
Kama kuna michele ilishaletwa toka marekani msaada uliyowekwa virutubisho itakua imeletwa kinyemela. Watu hawakujua.
Mchele umeishaletwa awamu mbili na kulishwa kwa wanafunzi bila shida. Na huu wa awamu ya tatu umepimwa na TBS na kuthibitika ni salama kwa matumizi ya binadamu. Wewe shida yako nini?
 
"waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance" nikifika hii sehemu inanichekesha sana😀😀😀😀
 
Ndomana tunajadili hapa mana hakuna asiyejua mfumo wa mahakama na police wetu hawa hivyo mijadala kama hii itasaidia kuibua chachu ya kufanya marekebisho kwenye vyombo vyetu vya sheria
Ni kweli kama wanapitaga humu jamvini wanaweza wakabaini na kujifunza kitu.
 
Hiv
Migalatia hii itatuharibia nchi na uzwazwa wao, kila kitu inakubali imeletewa ushoga wameupokea na sasa wanaletewa mchelemchele midenda inawatoka
Hivi ushoga uliopo Zanzibar na Mombasa nao unaweza kuwa ulisababishwa na kula vyakula vya kutoka Marekani?
 
Kwani we unasemaje? Na wakristu wakitoka hadharani unadhani watakuwa kinyume na wenzao?
 
Mwenye huo mchele uliotiwa virutubisho atuwekee picha.
Kuna kesi za chanjo za korona zinaendelea hukohuko unakotoka mchele wenye virutubisho,wanauwana wenyewe kwa wenyewe itakuja kuwa sisi waTz tena weusi kwa shida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…