jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
bila kusahau tende na maziwa ya ngamia toka uarabuni,wnapokea huku wakikenuaWaislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila kusahau tende na maziwa ya ngamia toka uarabuni,wnapokea huku wakikenuaWaislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.
Should you choose to share your opinions, please understand that they may be open to challenge. Let's maintain a respectful dialogue without attempting to dictate others' responsesHey, I didnt drag your f&£cking nose to smell the pollution. Mind your views
Tende na maziwa ya ngamia yanapatikana hapahapa hakuna haja ya kuagiza nje. Msaada wa boeing 787 unahitajika harakabila kusahau tende na maziwa ya ngamia toka uarabuni,wnapokea huku wakikenua
Anafanya spinning, Watanzania wengi hawataki haya maigizo, period.Yani Mchele wa marekani ndiyo utugawe kati ya wakristo na waislamu wa Tanzania!!?
Akili za wapi hizi?
mchele huo umeishakuja hapa mara 2 na umeliwa umeisha. Mbona hakuna mtu aliyegeuka zombi? Acha kupotosha watu.Mwenye huo mchele uliotiwa virutubisho atuwekee picha.
Kuna kesi za chanjo za korona zinaendelea hukohuko unakotoka mchele wenye virutubisho,wanauwana wenyewe kwa wenyewe itakuja kuwa sisi waTz tena weusi kwa shida tu.
View: https://youtu.be/8-8qTRlbCwQ?si=464p8qEXJitikfwa hawa watu Kwa unafiki hawajambo hapa ni wahamiaji haramu wa kiislamu wakilazimisha kuingia marekani na hapohapo wanalalamika kula nguruwe.