Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

Nnachozungumzia ni COs kuwa wengi ambao hawajajisajili MCT.
Yeah ni kwel kwa CO wengi wa zaman kabla ya 2020 hawajasajiriwa, Ila walioajiriwa baadae tuliwalazimisha kusajili ili.kupata MCT.number kwa ajili ya BIMA..
Ila wale waliokuwa hawana MCT number kabla yao walipewa namba maalumu kutoka bima reg..
 
Mkuu wote tuna oongea tupo kweny field..Na nakusuport sana kuwa wapo ambao hawajasajili..
Ila wemgi wasio sajili ni CO na sio Madaktari
Kuanzia 2019 kushuka chini CO walikuwa hawajisajili na wanafanya kazi kama kawaida,MD ndio walikuwa wanasajiliwa ila baada ya matabibu vishoka kuwa wengi kupitia mgongo wa CO ,NHIF wakapitisha sheria lazima CO asajiliwe apatiwe leseni ndio aweze kujaza fomu zao za bima.
Sheria ya sasa kama haujasijiliwa na MCT hauwezi kufanya kazi popote pale iwe private au gov.
 
Nope, probably alibakwa..sihamasishi abortion lakini
Kwamba alifanywaje? Mitoto ya siku hizi!!! Inawazidi mama zao wingi wa hilo tukio weeee. Na kama alibakwa,si mahakama inatoa muongozo,mimba inatolewa. Mtoaji atafatiliwa kwa lipi?! Kalipenda kenyewe. Hako badae kapelekwe sehemu nyingine kuficha aibu ya familia,kakifika vijana waanze shobo. Daadeki.
 
Kuanzia 2019 kushuka chini CO walikuwa hawajisajili na wanafanya kazi kama kawaida,MD ndio walikuwa wanasajiliwa ila baada ya matabibu vishoka kuwa wengi kupitia mgongo wa CO ,NHIF wakapitisha sheria lazima CO asajiliwe apatiwe leseni ndio aweze kujaza fomu zao za bima.
Sheria ya sasa kama haujasijiliwa na MCT hauwezi kufanya kazi popote pale iwe private au gov.
Mkuu nakuelewa sana ila mwaka 2020 mpaka 2021 wale Ma COs waliokuwa Hawajasajiliwa MCT walipewa Utambulisho.maalumu kutoka NHIF (Wale waliokuwa wanafanya kazi serkalimi),,

Utambulisho huo ndo uliwawezesha kujaza form za Bima Ndo maana ma CO wengi walioko serikalini hawajasajiliwa..
 
Hm. Chizi kweli. Wangekutoa ungekua unaandika hizi pumba? Wewe ulizaliwa mama yako akiwa na umri gani!? Kama hiyo 14-15 mbona hujawa aborted? Kama alikuwa na 20s, kwa nini hakuza akiwa na umri huo?
Na uhakikishe vijana mtaani wana access ya kumbinua binti yako kila kuchako,mimba mtoe tu. Si ndo uanaume huo! Na sheria sasa ya kufunga wanaogonga under 18, ya kazi gani?
Upo period nini? Mbona unadandia wanaume huwajui unaanza kutukana tu?

Wanawake wa siku hizi mna shida gani?
 
Ni kuandika tu doc ya kufoji kuonyesha mimba ilitishia uhai wa mama.

Kisha ishu inabaki kwa aliyempa mimba.

Lakini kwanini tusikubaliane kwamba abortion ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango? Kisha ikawa inafanywa katika namna sahihi kuliko kujificha ficha na kusababisha mambo mengine
Nimekuelewa sana.
 
MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao.
Wao wangetolewa wangekuwa madaktari!
 
Back
Top Bottom