Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme wakati akizungumza na watumishi wa idara ya afya kutoka Halmashauri za Msalala, Ushetu na Manispaa ya Kahama kama sehemu ya kuwakumbusha wajibu wao na kuagiza wale wanaobainika kwenda kinyume na misingi ya kazi zao wawajibishwe kisheria na siyo vinginevyo.

Chanzo: Nipashe
Wamesimamishwa kazi tu na siyo kufunguliwa mashtaka ya kuua(mtoto tumboni)na jaribio la kutaka kuua mtoto mwingine wa miaka 14?Hawapo makini.
 
Inabidi hiyo sheria itazamwe upya kipi bora abortion ifanywe na wataalamu ambapo ni more safe au njia za kienyeji zinazo hatarisha maisha.

Abortion ni swala la morality na dini; lakini anti abortion sio mambo ya kulazimishana kwenye secular society kama Tanzania inavyojinadi serikali aina dini.

Ni kuwekeana mipaka tu at what time of the pregnancy fetus ikishakuwa mtoto uwezi tena kutoa; nchi nyingi miezi mitatu mpaka minne mwisho.

Haya mambo ndio maana watu wanatupa watoto vyooni, vipi mtu kama mimba yake imetokana na kubakwa.

Kunaitajika mjadala wa kitaifa kwenye swala la abortion ‘for or against’ ili kuangalia upya huo msimamo.
 
Naamuru hao madaktari waachiliwe mara moja na warudishwe kazini.

Kwanza mitoto yenyewe malaya, inatombwa hovyo na mabodaboda, kwanini jumba bovu aangushiwe daktari?

Maadili kitu gani? Nani mwenye maadili hii Tanganyika? Kila mtu muhuni tu.

Warudishwe kazini mara moja. Alaaah!
 
We 😅
 
Utajua mwenyewe. Unahangaikia nini? Umeandika,ukajibiwa. Hujafurahia,potezea au jibu kistaarabu. Ila malezi na yo yanachangia. Sikulaumu

Yaani uandike matusi utarajie kujibiwa kistaarabu?

Una stress? Unahitaji msaada?
 
Yaani uandike matusi utarajie kujibiwa kistaarabu?

Una stress? Unahitaji msaada?
Kaanzisha matusi nani? Ebwana eh,sina mda mchafu. Wakati mwingine usitarajie kuungwa mkono kila comment. Kama haijakupendeza,pita,kimya. Ya nini utukane? Kwani lazima kila mtu achangie maoni yanayokulidhisha wewe!? Nini maana ya mjadala!!!
 
Hm. Chizi kweli. Wangekutoa ungekua unaandika hizi pumba? Wewe ulizaliwa mama yako akiwa na umri gani!? Kama hiyo 14-15 mbona hujawa aborted? Kama alikuwa na 20s, kwa nini hakuza akiwa na umri huo?
Na uhakikishe vijana mtaani wana access ya kumbinua binti yako kila kuchako,mimba mtoe tu. Si ndo uanaume huo! Na sheria sasa ya kufunga wanaogonga under 18, ya kazi gani?
Huyu ni wewe tho.

Sikia if u need help usisite. Omba
 
Wasukuma watu wa ajabu sana. Unatomba 14 yrs old baby. Na ukifatilia utakuta ni Janaume jitu zima pengine lizee kabisa lina familia na watoto.

Aliyebaka ni binaadam mwenye jinsia ya kiume. Kabila lake halihusiki popote katika matendo yake ya kishenzi.
 
Sheria ya jela miaka 30, ingepigwa kwa nusu ME 15, KE 15 hapa tutasahau hizi kesi

Umeongea jambo la msingi sana na uko sahihi sana!

Mabinti nao wapewe kifungo jela wanapobainika wamebeba mimba kwa hiyari yao na hawajabakwa.

Akijifungua akiwa jela mtoto achukuliwe na vituo vya watoto yatima ama serikali inyanyue Mfumo wa foster homes.

Ama siku anajifungua hapo hapo mtoto anaingizwa kwenye adoption processes kwa watu wenye uhitaji wa watoto huku mama mtu anarudi jela kuendelea na kifungo chake cha miaka 30.

Iundwe system ya kuwezesha hili kufanyika Tanzania nzima haswa vijijini. Angalau vijana watamaliza elimu za msingi na secondary kwa amani.

Ngono zembe kwa watoto imekua rahisi sana siku hizi. Ni kinyaa sana.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwamba alifanywaje? Mitoto ya siku hizi!!! Inawazidi mama zao wingi wa hilo tukio weeee. Na kama alibakwa,si mahakama inatoa muongozo,mimba inatolewa. Mtoaji atafatiliwa kwa lipi?! Kalipenda kenyewe. Hako badae kapelekwe sehemu nyingine kuficha aibu ya familia,kakifika vijana waanze shobo. Daadeki.

Unawaongelea hao watoto as if wanajitia na mijiti ama matango huko ukeni??!!

Ni members wangapi humu wanapita kwenye corridors za JF wakijisifia kuwalaghai na kufanya nao ngono hao watoto?

Wengine wanaanzisha campaign kabisa umri wa kuwaoa upunguzwe zaidi na sheria inayosema binti wa chini ya miaka 18 ni mtoto nayo ifutwe, unadhani ni wanawake hao?!

Ngono imekua kipaumbele cha jamii kubwa sana kwa sasa. Ni kinyaa!
 
Naamuru hao madaktari waachiliwe mara moja na warudishwe kazini.

Kwanza mitoto yenyewe malaya, inatombwa hovyo na mabodaboda, kwanini jumba bovu aangushiwe daktari?

Maadili kitu gani? Nani mwenye maadili hii Tanganyika? Kila mtu muhuni tu.

Warudishwe kazini mara moja. Alaaah!

Mimi nitoe.
 
Unawaongelea hao watoto as if wanajitia na mijiti ama matango huko ukeni??!!

Ni members wangapi humu wanapita kwenye corridors za JF wakijisifia kuwalaghai na kufanya nao ngono hao watoto?

Wengine wanaanzisha campaign kabisa umri wa kuwaoa upunguzwe zaidi na sheria inayosema binti wa chini ya miaka 18 ni mtoto nayo ifutwe, unadhani ni wanawake hao?!

Ngono imekua kipaumbele cha jamii kubwa sana kwa sasa. Ni kinyaa!
Binafsi nakuelewa. Nachopingana nacho, ni chanzo ni nini? Siku hizi wanaiga kila wakionacho. Nani wa kukemea? Wazazi. Wanakemea kweli? Hapana. Mama analala na kijana wa kazi,mwenye miaka 16. Baba anamsaula binti wa kazi,miaka 16. Huyu nae wahuni na binamu,lazima wampe. Na ukizingatia hata nyumbani ameyashuhudia,lazima ajue kuna nini.
Uangalie,kwa sasa,ni nadra sana kumkuta mtoto wa kike ana miaka 20,na hana mtoto. Kama hana, basi 99%, mimba wametoa. Lakini haizuii kuwa wao ni kina mama marehemu
 
Back
Top Bottom