Nnachozungumzia ni COs kuwa wengi ambao hawajajisajili MCT. Ipitie vyema comment yangu. Sijamaanisha MDsMkuu Daktari huwezi kuruhusuwa kufanya kazi kama hujafaulu intern na kupewa lessen ya kutibu..
Mayb unazungunzia COs
Mkuu wote tuna oongea tupo kweny field..Na nakusuport sana kuwa wapo ambao hawajasajili..Nipo kwenye field. Najua ninachoongea.
Mkazo unawekwa zaidi 'Private' na sio Public hospitals
Hapana mkuu, tukibadilisha umri italeta shida kwenye elimu taifa litakua halisomi kabisa hili tutakua tumetengeneza janga lingineNi upuuzi miaka 15 kuendelea sio mtoto
Umri wa mtoto Tanzania ubadilishwe
Yeah ni kwel kwa CO wengi wa zaman kabla ya 2020 hawajasajiriwa, Ila walioajiriwa baadae tuliwalazimisha kusajili ili.kupata MCT.number kwa ajili ya BIMA..Nnachozungumzia ni COs kuwa wengi ambao hawajajisajili MCT.
marekani , Russia, Japan unadhani kuna kupoteza muda mashuleni kama huku bongoHapana mkuu, tukibadilisha umri italeta shida kwenye elimu taifa litakua halisomi kabisa hili tutakua tumetengeneza janga lingine
marekani , Russia, Japan unadhani kuna kupoteza muda mashuleni kama huku bongoHapana mkuu, tukibadilisha umri italeta shida kwenye elimu taifa litakua halisomi kabisa hili tutakua tumetengeneza janga lingine
TAifa letu wengi yale maarifa basic hatuna mkuu, acha vijana wapate maarifa lasivyo tutarudi nyuma sanamarekani , Russia, Japan unadhani kuna kupoteza muda mashuleni kama huku bongo
Mie nilikuwa sijuiMmmh sikuhizi watoto wamechangamka jamani miaka 14 kashaanza😀😀😀😃
Kuanzia 2019 kushuka chini CO walikuwa hawajisajili na wanafanya kazi kama kawaida,MD ndio walikuwa wanasajiliwa ila baada ya matabibu vishoka kuwa wengi kupitia mgongo wa CO ,NHIF wakapitisha sheria lazima CO asajiliwe apatiwe leseni ndio aweze kujaza fomu zao za bima.Mkuu wote tuna oongea tupo kweny field..Na nakusuport sana kuwa wapo ambao hawajasajili..
Ila wemgi wasio sajili ni CO na sio Madaktari
Nope, probably alibakwa..sihamasishi abortion lakiniNi umri tu wa kufanya umalaya. Si ndio!
Kwamba alifanywaje? Mitoto ya siku hizi!!! Inawazidi mama zao wingi wa hilo tukio weeee. Na kama alibakwa,si mahakama inatoa muongozo,mimba inatolewa. Mtoaji atafatiliwa kwa lipi?! Kalipenda kenyewe. Hako badae kapelekwe sehemu nyingine kuficha aibu ya familia,kakifika vijana waanze shobo. Daadeki.Nope, probably alibakwa..sihamasishi abortion lakini
Mkuu nakuelewa sana ila mwaka 2020 mpaka 2021 wale Ma COs waliokuwa Hawajasajiliwa MCT walipewa Utambulisho.maalumu kutoka NHIF (Wale waliokuwa wanafanya kazi serkalimi),,Kuanzia 2019 kushuka chini CO walikuwa hawajisajili na wanafanya kazi kama kawaida,MD ndio walikuwa wanasajiliwa ila baada ya matabibu vishoka kuwa wengi kupitia mgongo wa CO ,NHIF wakapitisha sheria lazima CO asajiliwe apatiwe leseni ndio aweze kujaza fomu zao za bima.
Sheria ya sasa kama haujasijiliwa na MCT hauwezi kufanya kazi popote pale iwe private au gov.
Upo period nini? Mbona unadandia wanaume huwajui unaanza kutukana tu?Hm. Chizi kweli. Wangekutoa ungekua unaandika hizi pumba? Wewe ulizaliwa mama yako akiwa na umri gani!? Kama hiyo 14-15 mbona hujawa aborted? Kama alikuwa na 20s, kwa nini hakuza akiwa na umri huo?
Na uhakikishe vijana mtaani wana access ya kumbinua binti yako kila kuchako,mimba mtoe tu. Si ndo uanaume huo! Na sheria sasa ya kufunga wanaogonga under 18, ya kazi gani?
Vitumbua vinaanza kuwasha mapemaMmmh sikuhizi watoto wamechangamka jamani miaka 14 kashaanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Ndiyo. Unataka ulambe? Njoo. Shida niliyo na yo, ni kama hiyo uliyo nayo.Upo period nini? Mbona unadandia wanaume huwajui unaanza kutukana tu?
Wanawake wa siku hizi mna shida gani?
Nimekuelewa sana.Ni kuandika tu doc ya kufoji kuonyesha mimba ilitishia uhai wa mama.
Kisha ishu inabaki kwa aliyempa mimba.
Lakini kwanini tusikubaliane kwamba abortion ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango? Kisha ikawa inafanywa katika namna sahihi kuliko kujificha ficha na kusababisha mambo mengine
Ya manisipaaClinical officer hospital ya rufaa akafanye nini?
Wao wangetolewa wangekuwa madaktari!MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao.