Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Hao ndugu wa Mengi wanazingua. Watoto wa jacky na Mengi ni ndugu zao pia.

Why utata uwe mkubwa hivi.

Hapo ndipo napoipendea dini ya kiislam. Mahakama isingepata shida kugawa mali ingesoma taratibu za kwenye msaafu tu.
 
Mtoto wa mpakanjia na Amina chifupa(muislamu)analilia mali za urithi wa baba yake. Msimamizi ni muislamu pia rafiki wa baba yake.

Kuleta udini kwenye kila mada ni upuuzi
Hao ndugu wa Mengi wanazingua. Watoto wa jacky na Mengi ni ndugu zao pia.

Why utata uwe mkubwa hivi.

Hapo ndipo napoipendea dini ya kiislam. Mahakama isingepata shida kugawa mali ingesoma taratibu za kwenye msaafu tu.
 

Ni mjinga sana huyu dada, alitakiwa kabla mumewe hajafariki awe ameshamtengenezea empire yake binafsi, hizo mali nyingine kama IPP an the like ingekuwa tu kama atapata poa asipopata sawa maana tayari anayo empire yake binafsi ya kumtosha,

Hakuwa mjanja, alijua tu starehe
 
ubaya ailuanza mama wa hao watoto kutaka kumiliki kila kitu
 
Hivi mpaka leo hii kesi ipo tu?
 
Mengi aliwaachia Mali nyingi lini? Jacqueline ni mdangaji tu kama wengine. Kitendo cha Mengi kufa halafu anataka kujimilikisha kila kitu ni sifa za kidangaji.
 
Kusema watakua ktk umasikini wa kutupa ni uongo, mama yao bado anaweza kuwatunza, watoto wa masikini wanajulikana vizuri huko vijijini na uswahikini na wanakukua na kutoboa kwenye maisha,leo waje kua hao? Hili pia liwe fundisho kwa wadada wenye tamaa za kuwafukuzia wanaume matajiri wakilenga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…