Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

Mkuu tatizo lenu wazazi tukiwaita kwenye mikutano hamji Sasa wanaokuja wakishakubaliana na muhutasari ukiandikwa inakuwa sheria penda usipende utalipa siku nyingine ukisikia mkutano nenda kakatae huo mchango sio kuja kulia lia hapa JF na kuchafua taswira ya shule
 
duh
 
ni mwalimu huyo kaka.. ndo wale wale [emoji23]
 
Kwa mtu mzima kuuliswa mwenendo wa dereva anaweza akatoa majibu maxuri
 
Kwa mtu mzima kuuliswa mwenendo wa dereva anaweza akatoa majibu maxuri
una uhakika? ukiwa kwenye himaya za watu huna mamlaka za kuwasema vibaya kwa hofu ya kukosa huduma mhimu!
mfano ukibanwa na tumbo la haja ukiwaomba hawasimami kwasababu uliwasemea mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…