Umerudi kutoka kwenye lile jambo lenu vijana wa Lumumba la kwenda kurusha mawe kwenye kampeni za Lissu na sasa upo online!Chadema acheni uwoga
Hapa nakubaliana na wewe yaani walimu wanavyohangaika hadi huruma. Kabla majina hayajatoka ya wasimamizi, hao walimu kila mara huulizia vipi majina yashatoka?[emoji23][emoji23][emoji23]Walimu njaa kali, posho tu za usimamizi tayari wamesahau maswaibu yooote!
Hapa nakubaliana na wewe yaani walimu wanavyohangaika hadi huruma. Kabla majina hayajatoka ya wasimamizi, hao walimu kila mara kuulizia vipi majina yashatoka?[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah inahuzunisha sana kuja kufuatilia wanalipwa bei gani hata laki moja haimo, ila walivyofurahia ni hatari na waliokosa wamenuna balaa.
Mwalimu ni kundi la hovyo sana hapa Nchini, yaani malipo ya laki moja tayari wameshasahau kila kitu.
Yaan Ni aibu Sana aisee na nimeshangaa Sana mwalimu kufurahia malipo ya 80k tena wamesahau maumivu ya miaka 5 ,yaan hapa nilipo saiz walimu story zao Ni hizo za kusimamia yaan wamefuatah balaa.Laki wapi, ni elfu 80 tu... lakini ni kama wameyapatia maisha.
Ukweli kwa maisha ya walimu, hiyo ni pesa nyingi mno kuipata kwa mkupuo.... mishahara wameikopea wengi wao mwisho wa mwezi hamna kitu.
Leo utashangaa kusikia wanabwagiza mitano tena!
Wanatishwa na wakurugenzi.Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Acheni walimu wafanye kazi zao maadam wenyewe wameridhika. Kwanza hufanya kazi hizo kwa ufanisi mkubwa msiwatie midukuo sababu aliyewanyima wao ndo kawapa nyie.Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Walimu ndiyo kundi linalotumia sn na CCMKweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Chadema acheni uwoga
Jana lindi after kuapisha mkasema wale wa ccm wabakie hahaha
Nadhan una taarifa ya nn kilitokea
Huo ni uwoga wenu tu kila Uchaguzi huwa mnauoga
Ila kichapo kipo pale pale kamanda