Wasimamizi Yanga Day Ovyo Kabisa

Mimi ni Yanga ila Manara analeta mambo ya kipumbavu wakati anajua tukio hili Kuna watu wametulia kufuatilia anatuletea mambo ya uhuni uhuni.Mfano Habari ya Aziz Ki na Mabeto haya ni mambo ya wasanii huko yeye analeta kwenye mpira
Manara sio malaika afurahishe watu wote
Wewe kama hilo jambo hujalipenda jua Kuna mwingine kalifurahia, jifunze kustahiliana
Mimi binafsi sipendi mziki wa mapiano ila siwezi kuchukua dj akipiga mapiano watu wakaruka
 
Mkuu hapo kwa Marioo umemsingizia.. katekeleza alichopaswa kufanya walau 87%. Jarmonize kazingua..

Nje na hapo, hivi kwani huwa ni lazima kuwe na mipicha ya rais uwanjani? Ni kama kampeni tu zinaendeshwa pia kupitia mpira
 
Manara sio malaika afurahishe watu wote
Wewe kama hilo jambo hujalipenda jua Kuna mwingine kalifurahia, jifunze kustahiliana
Mimi binafsi sipendi mziki wa mapiano ila siwezi kuchukua dj akipiga mapiano watu wakaruka
Upo sahihi mkuu, huwezi kufanya kitu ukaridhisha kila mtu lakini kuna ile ku-behave professionally, hasa kwenye matukio yanayojumuisha watu wengi na wa namna tofauti kama ilivyokuwa leo. Yule mzee hiki kipengele kavurunda kwa leo mkuu..

Mbali na hapo, ni sawa hupendi amapiano. Kwa mazingira yale ni ngumu kuepukika sababu watu wanatakiwa kuvibe, let say tuondoe huo muziki, ni aina gani ya muziki nyingine kwa nti tetu hatpa au hata nje inaweza kuinvolve crowd kwa muda mrefu kidogo, tena wakiwa na energy tofauti na hiyo? Ni lazma tu zingepigwa kulingana na influence yake..
 
Dah! Ama kweli matatizo ya akili hayawez kuisha nchi hii kwa akili.hizi...
 
Kuwa mkweli acha ushabiki, tamasha la ovyoo kabisa, kuwafunga red arrows mpaka wapewe kadi nyekundu , upuuzi mtupu hakuna protocol unorganized events . Tujifunze kwa simba
 
Kama hujayaona mapungufu ya kipumbavu leo basi una tatizo kichwani. Mtu anawaharibia tukio lenu namna ile halafu unaona poa tu.
 
Sasa , Kwanza suala la muda , mbona sisi Wanayanga hatulisemi ? Tumerizika kabisa, hizo kelele za nini ?
Na ndiyo maana nyie muna siku yenu na sisi yetu ,
Kwa hiyo munataka tufanane , mnachokifanya na sisi tufanye ?
KWA HIYO ALIYOFANYA MO JUZI NI SAHIHI ? KUTAMBULISHA UKOO WAKE ? Hili nalo lilikuwa kwenye ratiba yenu , mo atambulishe dada zake ,
ACHENI MAMBO YA AJABU
 
Ni ovyo kabisa:

HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO
1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣
2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa
3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin
4.Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja
5.Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.
6.Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda
7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi😂😂nacheka kama mazuri
8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi😂
9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.
10.Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🤣🤣 Red ♦️
11.Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🤣
12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.
13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.
14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.
15. Kugombania mic 🎤 wasanii. Marioo.😭
Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
 
Yanga Tamasha lao lilikua zuri tena lenye utulivu licha ya watu kuwa wengi na kutumika viwanja viwili.
Tamasha la Simba Majukwaa yalikua na mapengo sasa ili kuondoa aibu ilibidi walazimishe watu waingie Bure, Matokeo yake watu waka vunja mageti wakati Wana pambania fungulia Mbwa.
Kinacho fuata ni fain ya uharibifu wa Mali za umma.
 
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO

1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣

2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa

3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin

4.Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja

5.Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.

6.Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda

7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi😂😂nacheka kama mazuri

8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi😂

9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.

10.Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🤣🤣 Red ♦️

11.Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🤣

12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.

13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.

14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.

15. Kugombania mic 🎤 wasanii. Marioo.😭

Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
 
Kumekucha
 
Attachments

  • 5788659-03eab57dd7aa1da8c4cd35fb70a6049.mp4
    6.7 MB
 
Attachments

  • 5788659-03eab57dd7aa1da8c4cd35fb70a6049.mp4
    6.7 MB
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…