Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
Screenshot_20241014-002815_X.jpg
 
Ndio phase ya maisha kwa upande wa ukubwa, ukita kujua hilo angalia uwezo wa kupambana kimaisha kati ya mwenye familia na asiyekuwa na familia.
 
Majukumu ya kutunza familia ukiyamudu ndio maisha yenyewe
 
Kipindi chao kulikua na utulivu fulani, Dunia ya sasa haihitaji kukurupuka aisee!! Utakurupushwa!!
 
Back
Top Bottom