Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
 
mie nipo sector binafsi lakini habari hii niliisikia kitambo kwenye mwezi may nikiwa kanda ya ziwa, nilikuwa nawaona walimu wanaenda mbio ka kenge anavyokimbia moto kupata hivyo vitambulisho
 
Hata mie hapa kibaruani kwangu tumesisitizwa kuhakikisha tunafanyiwa uhakiki huo wa kuonesha kitambulisho cha kazi, salary slip na kitambulisho cha taifa, wanasema ukizembea kuna hatari ya kukosa "mtonyo" wa mwezi wa saba.
 
vitambulisho sie raia wa kawaida tusio watumishi tulizuiliwa tukaambiwa wanaanza na watumishi wa umma kwanza..hadi wamalize nyie ndo tunafuatia sisi
imekuwaje tena
 
Huku nilipo wameanza kuandikisha raia wengine ambao sio watumishi wa umma.
 
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
let us accept your allegations kwasababu aliyekuambia ana mamlaka ya kufunga mshahara wako
 
kwani bado kuna ugumu wa kukipata maana nakumbuka changu niliambiwa ntapigiwa simu hadi leo zaidi ya mwaka kama sio miaka. NIDA nao wawe aggressive kwenye kazi zao nimejua kilipo baada ya kwenda kukifuatilia sasa hivi angalau najua hata namba yangu.
kazi kwenu watumishi wa umma.
 
Mbona hukumuuliza HR wako ambaye ndiyo anataarifa sahihi?
Mkuu, nilimuuliza. Yeye akasema tu "mshahara wa mwezi huu, na mizigo ijayo hautopata Hadi ulete ID" basi. Maelezo mengine hakutoa na at nilipouliza kuhusu extension ya deadline kasema hajaipanga yeye, ni kutoka "Makao Makuu", sikuambiwa Makao Makuu ya Nini?
 
Mkuu kwani hukupinga kwenye maonyesho ya sabasaba kwenye ile ofa? jitahidi mkuu jamaa anatafuta namna ya kupunguza wafanyakazi.
 
Mbona pengine sijaskia hizo mambo za uhakiki kupitia ID sijui za kazi mara salary au ni zoezi jipya

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom