Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

Mtaua watu kwa presha .. Acheni masihara kabisa na mshahara.
 
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
Acha uongo...kuna utaratibu umeandaliwa kwa wasiokuwa nacho...sizan kama ww ni muhusika...pia deadline ni 15 July...

Acha kuishi kwa tetesi

Sent from my thl 2015A using JamiiForums mobile app
 
Jamani Kuna mikoa mingine hawajapata hvyo vitambulisho

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli huku kwetu mwisho tar 30

Sent from my Z6 using JamiiForums mobile app
 
dereva wa lori anatafuta kila mbinu kufukuza abiria..maji yamemfika shingoni na mipunga inazidi kupungua
 
Samahani hivi zoezi hili la vitambulisho vya taifa lilifika Tanzania nzima?
 
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
Usichee kibarua wakati unaona hali ilivyobana kupata kibarua kingine. Nenda wilayani kwako kuna ofisi za NIDA ukafanye taratibu zakupata kitambulisho. Watakupa namba ambayo utaenda nayo kwenye zoezi la uhakiki linaloendelea. Ingawa halimashauri zinatofautiana lkn wana utaratibu unaoweza kukusaidia kuhakikiwa.

Chezea mshahara, usichezee kibarua usawa mgumu.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
kama ulijiandikisha na hukupata id nenda ofisi za nida utapewa namba za id yako ,peleka namba hzo pia salary slip kwa HRO akuhakiki salary ya mwezi july ipo usihofu
 
Back
Top Bottom