Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Nikweli unachosema kwakuwa Akili yako IPO nyuma yamakalio yako

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
Ambao hawajapata vile vitambulisho kuna namba wanapewa na ofisi za NIDA
Na ndio hizo unatumia katika kuhakikiwa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe umeambiwa na muajili wako ambae ndo boss wako afu unakuja kuuliza huku sasa unazani humu kuna jibu sahihi kwa kazi yako tofaut na kauli ya HR wako?

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Huku Dom ofisi ya mkuu wa mkoa wameandika uhakiki mwisho tarehe 26/7. mshahara utakuwa bado haujatoka?
 
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.

Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.

Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.

Shukrani.
Oya! Sio kila kitu unachoongea na mchepuko wako gestini unaleta huku jukwaani, tumia chujio!
 
Mmmmm! Ila inaweza kuwa kweli

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Duh! Naona uko full confidence mkuu.
 
Dont worry dear hakuna kitu kama hiko! Iyo assesment ni endelevu na ni ya mfanano wa taarifa za watumishi haiusiani na salary dear!
 
Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
sema Huna kazi baada ya kudakwa na vyeti feki sasa kitambulisho cha nini?
 
Hata mie hapa kibaruani kwangu tumesisitizwa kuhakikisha tunafanyiwa uhakiki huo wa kuonesha kitambulisho cha kazi, salary slip na kitambulisho cha taifa, wanasema ukizembea kuna hatari ya kukosa "mtonyo" wa mwezi wa saba.
Aisee Ntakugawia Wangu
 
Ni saa za raia FEKI zimewadia. Kaa chonjo.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
unyanyasaji wa wafanyakazi unaendelea sasa mtu kama hana kitambulisho hakupata inakuaje
 
Hizo taarifa si za kweli.
Huu sio uhakiki huu ni mpango wa kuunganisha taarifa za watumishi ambazo zimetawanyika sehemu mbalimbali(nida, utumishi na hazina) ili zifanane kuepuka mrundikano wa taarifa nyingi zinazojirudiarudia.

Na ni zoezi endelevu hivyo halihusiani na usitishwaji wa mishahara.

Mshahara utasitishwa kama itabainika taarifa zako zilizoko utumishi ni tofauti na za nida na hazifanani na za hazina na pia umeshindwa kuthibitisha taarifa sahihi ni zipi.
Hapo tayari unakuwa ni mtumishi hewa.

umejibu kama PhD holder
 
Back
Top Bottom