mie nipo sector binafsi lakini habari hii niliisikia kitambo kwenye mwezi may nikiwa kanda ya ziwa, nilikuwa nawaona walimu wanaenda mbio ka kenge anavyokimbia moto kupata hivyo vitambulishoWakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.
Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.
Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.
Shukrani.
HUJUI UMUHIMU WAKESijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Na hivi kuanzia Julai, 2017 "kitu" kinatokea BoT sio Hazina!Ni kweli hakuna salary ya July kama hujapeleka ID ya Taifa
Nakushauri tu uwe nachoSijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Huku nilipo wameanza kuandikisha raia wengine ambao sio watumishi wa umma.vitambulisho sie raia wa kawaida tusio watumishi tulizuiliwa tukaambiwa wanaanza na watumishi wa umma kwanza..hadi wamalize nyie ndo tunafuatia sisi
imekuwaje tena
Kwani Offline User ndie muhusika wa hayo mambo?!Sasa mkuu, kwanini msingetuongezea muda kidogo ata mwezi wa 9 hivi ndio iwe mwisho.
let us accept your allegations kwasababu aliyekuambia ana mamlaka ya kufunga mshahara wakoWakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.
Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.
Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.
Shukrani.
Mkuu, nilimuuliza. Yeye akasema tu "mshahara wa mwezi huu, na mizigo ijayo hautopata Hadi ulete ID" basi. Maelezo mengine hakutoa na at nilipouliza kuhusu extension ya deadline kasema hajaipanga yeye, ni kutoka "Makao Makuu", sikuambiwa Makao Makuu ya Nini?Mbona hukumuuliza HR wako ambaye ndiyo anataarifa sahihi?
Mkuu kwani hukupinga kwenye maonyesho ya sabasaba kwenye ile ofa? jitahidi mkuu jamaa anatafuta namna ya kupunguza wafanyakazi.Mkuu, nilimuuliza. Yeye akasema tu "mshahara wa mwezi huu, na mizigo ijayo hautopata Hadi ulete ID" basi. Maelezo mengine hakutoa na at nilipouliza kuhusu extension ya deadline kasema hajaipanga yeye, ni kutoka "Makao Makuu", sikuambiwa Makao Makuu ya Nini?
Jamaa anatia huruma... na vile mwezi huu salary imeongezwa.. patamu hapo!!Kwani Offline User ndie muhusika wa hayo mambo?!