Hamna kitu kama hicho,..kosa sio lako mi mwenyewe sijapata kitambulisho..unachotakiwa ni kwamba ufatilie kwa kina nida ili wakupe...upeleke kabla ya tar husika.
Wazee shukrani. Sasa hapa nipo NIDA wilaya. Foreni kubwa ni hatari tokea 6AM watu wamekuja. Wengi wamefuata ID number au IDs zenyewe. Wachache Sana wamekuja kuanza kujiandikisha kama Mimi.